• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

TANGAZO:KUPATA DAWA ZA KINGA DHIDI UGONJWA WA MINYOO YA TUMBO

14 March 2020

      TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!

     HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi anawatangazia

wananchi wote ndani ya Halmashauri ya Itigi,wenye watoto wenye umri wa


miaka 5-14 kuwapeleka watoto wao


KUPATA DAWA YA KINGA YA UGONJWA WA MINYOO YA TUMBO

Kinga hiyo itatolewa bure siku ya Jumatatu na Jumanne, tarehe

16/03/2020 na 17/03/2020 kuanzia saa 2.00Asubuhi Mpaka 10:00 jioni.

KATIKA SHULE ZOTE ZA MSINGI ZA SERIKALI NA BINAFSI

Ewe Mzazi/Mlezi Mpeleke mtoto mwenye umri huo, akapate dawa ya

minyoo kwenye shule ya msingi iliyokaribu nawe, Kinga hii ni kwa watoto


walioko shule na ambao hawajaandikishwa shule.


KINGA NI BORA KULIKO TIBA


John K. Mgalula

MKURUGENZI MTENDAJI

HALMASHAIURI YA WILAYA YA ITIGI

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 December 15, 2018
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili September 12, 2017
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MAGOGO February 28, 2018
  • Tangazo la Zabuni July 02, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya

  • Wananchi Halmashauri ya Itigi watakiwa kuacha kukata miti Hovyo

    January 23, 2021
  • Mwenyekiti Mpya wa Halmashauri ya Itigi awataka Madiwani na Watumishi kufanya Kazi kwa ushirikiano kukidhi Mahitaji ya wananchi.

    December 16, 2020
  • TASAF KIPINDI CHA PILI AWAMU YA TATU HALMASHAURI YA ITIGI YAANZA NA UHAKIKI WA KAYA

    August 01, 2020
  • MGANGA MKUU ITIGI DR MALLANGE AENDELEZA OPERATION FUNGIA MAABARA BUBU

    February 04, 2020
  • Tazama zote

Video

RAIS MAGUFULI AADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA ITIGI SINGIDA NA WANANCHI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0737235630

    Simu ya Mkononi: 0757226612

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa