• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Ardhi na Maliasili

MAJUKUMU YA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

Kwa ujumla majukumu ya Idara ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ni ya kutoa huduma za kitaalam na ushauri kwa wakazi wa eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, wananchi wengine wa Tanzania na wawekezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Majukumu hayo ni kama ifuatavyo:

Kupanga, Kupima na kumilikisha maeneo ya matumizi mbalimbali ya Ardhi kama vile matumizi ya viwanja, taasisi mbalimbali, kilimo, malisho, makazi, wanyamapori nk.

Kutoa elimu ya juu ya sera na sheria mbalimbali kuhusu masuala ya Ardhi, makazi, wanyamapori, na misitu ili wananchi wazielewe na kuzizingatia wanapopanga na kutekeleza mipango yao ya maendeleo

Kudhibiti na kushauri uendelezaji wa maeneo mbalimbali ya Ardhi unaokwenda kinyume cha sheria na taratibu zinazohusika.

Kudhibiti uvunaji holela wa maliasili mbalimbali kama vile misitu na wanyamapori.

Kulinda na kuendeleza ustawi wa wanyamapori kwa kutoa leseni za kuwezesha uwindaji endelevu ili shughuli za uwindaji na upigaji picha wa kitalii ziwe endelevu.

Kukuza na kuainisha vivutio mbalimbali vya utalii ndani ya eneo la Halmashauri ya Wilaya.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 December 15, 2018
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili September 12, 2017
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MAGOGO February 28, 2018
  • Tangazo la Zabuni July 02, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya

  • Wananchi Halmashauri ya Itigi watakiwa kuacha kukata miti Hovyo

    January 23, 2021
  • Mwenyekiti Mpya wa Halmashauri ya Itigi awataka Madiwani na Watumishi kufanya Kazi kwa ushirikiano kukidhi Mahitaji ya wananchi.

    December 16, 2020
  • TASAF KIPINDI CHA PILI AWAMU YA TATU HALMASHAURI YA ITIGI YAANZA NA UHAKIKI WA KAYA

    August 01, 2020
  • MGANGA MKUU ITIGI DR MALLANGE AENDELEZA OPERATION FUNGIA MAABARA BUBU

    February 04, 2020
  • Tazama zote

Video

RAIS MAGUFULI AADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA ITIGI SINGIDA NA WANANCHI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0737235630

    Simu ya Mkononi: 0757226612

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa