• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

Animal Keeping and Fishing


Kutafsiri na kusimamia sheria, kanuni, sera, miongozo na taratibu mbalimbali za sekta za mifugo na uvuvi kitaifa ili kuhakikisha uwepo wa uzalishaji endelevu wa mifugo na mazao yatokanayo na mifugo na uvuvi katika wilaya kwa madhumuni ya kufikia malengo ya uzaalishaji kitaifa; Kushirikiana na wadau/washirika wa maendeleo (kama vile Taasisi binafsi na za umma) katika kutoa huduma shirikishi za ugani, kuanzisha na kuendeleza miradi ya uendelezaji mifugo na uvuvi katika wilaya; Kushirikiana na uongozi katika ngazi mbalimbali za kitaifa, Mkoa, Halmashauri na Idara nyingine katika kutimiza majukumu ya kila siku; Kushirikiana na wadau mbalimbali kudhibiti uingiza wa mifugo kiholela na kuzuia uvuvi haramu katika wilaya, kwa kufanya doria, kutoa leseni za uvuvi na kutoa elimu juu ya matumizi bora ya zana za uvuvi.

Kushauri na kuzisimamia serikali za vijiji kutenga maeneo ya malisho ili kuzuia migogoro inayoweza kutokea baina ya wafugaji na watumiaji wengine wa ardhi katika vijiji; Kuwa daraja kati ya wafugaji na watafiti wa mifugo na uvuvi, kwa kuzitambua na kuchukua changamoto za wafugaji na kuzipeleka kwa watafiti ambao watazitafutia majibu muafaka na kurudisha/ kupeleka mrejesho kwa walengwa. Pia kusambaza teknolojia sahihi za kitaalam kutoka kwa watafiti kwenda kwa wafugaji ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mifugo, samaki na bidhaa zake; Kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mifugo, ikiwemo yale ya mlipuko na yale yanayo waathili binadamu kutoka kwenye mifugo, kama vile Kifua Kikuu, Kimeta, Kichaa cha Mbwa n.k, kwa kutoa tiba, chanjo, ukaguzi wa nyama na kutoa vibali vya kusafirisha mifugo. Pia kutoa taarifa za magonjwa ya milipuko, kuchukua na kupeleka sampuli za wanyama katika  kituo cha uchunguzi wa mifugo Temeke Dar es salaam; Kuhakikisha wataalam wa mifugo na uvuvi wenye sifa zinazo stahili wapo wa kutosha katika ngazi zote na wanahamasa ya kufanya kazi;

Kudhibiti ubora wa bidhaa za mifugo na uvuvi, pia kuhamasisha uongezaji thamani wa mazao ya mifugo na uvuvi na kusisitiza ufugaji wa kibiashara;  Kutafsiri na kuunganisha majukumu, matakwa na malengo ya wadau watoa huduma za ugani katika sekta za mifugo na uvuvi; Kutambua aina ya wafugaji na mahitaji yao muhimu katika maeneo mbalimbali; Kuendeleza matumizi ya mbinu za asili za ufugaji; Kuendeleza na kuboresha kosaafu za mifugo ya asili kwa uhamilishaji na kutumia madume bora ili kuongeza uzalishaji wa mifugo; Kukuza na kuimarisha mitandao miongoni mwa wadau wa kutoa huma za ugani na wafugaji wenyewe; Kukuza ushiriki wa wadau binafsi wa kutoa huduma za ugani, kutunza kumbukumbu na kufuatilia shughuli zao;  Kwa kushikiana na wadau wa maendeleo Kuwezesha ujenzi wa miundombinu ya mifugo na uvuvi katika maeneo ya wafugaji; Kukusanya, kuchambua, kutunza, kuboresha na kuzitumia taarifa/takwimu za mifugo na uvuvi katika kupanga mipango ya maendeleo na bajeti ya sekta katika wilaya; Kuhusisha na kushughulikia maswala mtambuka kama vile  jinsia, mazingira na VVU/UKIMWI.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.