• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA WA UCHAGUZI WA MWAKA 2025

31 August 2024

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Manyoni Magharibi anapenda kuwajulisha, wafuatao wameitwa kwenye usaili wa Nafasi za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya BVR KIT (OPERATOR) katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura utakaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Itigi kuanzia tarehe 04/09/2024 hadi 06/09/2024 kama inavyoonekana hapa chini. KUNDI A: Kata za: Itigi Mjini, Itigi Majengo,Tambukareli, Sanjaranda, Kitaraka, Ipande, Aghondi na Idodyandole Waombaji kutoka Kata tajwa hapo juu wanatikiwa kufika tarehe 04/09/2024 saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Shule ya Itigi Sekondari kwa ajili ya Usaili KUNDI B: Rungwa, Mwamagembe, Kalangali, Mitundu na Mgandu Waombaji kutoka Kata tajwa hapo juu wanatakiwa kufika tarehe 06/09/2024 saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Ofisi ya Kijiji Mitundu kwa ajili ya Usaili

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.