• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

Environment and Cleaning

MAJUKUMU YA IDARA

  • Kuandaa na kutekeleza program za kutoa elimu ya Mazingira kwa wadau mbalimbali kuhusu njia bora za kudhibiti uchafuzi wa uharibifu wa mazingira na athari zake.
  • Kusimamia utekelezaji wa sheria za mazingira katika maeneo yao ya kazi
  • Kufuatilia ili kupata taarifa za mazingira kutoka katika maeneo yote ynayotakiwa kuhifadhiwa.
  • Kufuatilia na kutathimini athari za uchafuzi wa Mazingira katika makazi, viwanda, migodi, ujenzi wa kilimo na ufugaji.
  • Kuandaa miongozo ya ujenzi wa miundo mbinu yataka katika maeneo ya biashara, viwanda na shughuli nyingine za kuchumi ili kuhakikisha hali ya usafi katika maeneo hayo na kudhibiti uzagaaji wa taka.
  • Kufanya mapitio na marekebisho ya sheria ndogo za usafi na hifadhi za mazingira
  • Kufuatilia utekelezaji wa kazi za kamati za mazingira na kamati za kudumu za Halmashauri zinazoanzishwa na sherria ya usimamizi wa mazingira ngazi ya Halmashauri hadi kitongoji/ mtaa.
  • Kusimamia usafishaji na ukusanyajii wa taka ngumu kutoka kwenye majengo, maeneo ya wazi, barabara na mifereji ya kuondoa maji ya mvua pamoja na kusimamia uhifadhi wa muda, uchambuzi na usafiriashaji Taka Ngumu
  • Kusimamia uchambuaji, utupaji Taka Ngumu na uendeshaji Dampo la kisasa.
  • Kuandaa na kutekeleza miradi mbalimbali kuhusu usimamizi wa Hifadhi ya Mazingira
  • Kufanya Tafiti zenye uhusiano na masuala ya hifadhi ya Mazingira.
  • Kuweka na kusimamia miongozo ya usimamizi wa majitaka yanayomwagwa kwenye mazingira ili kulinda viwango vya mazingira.
  • Kufuatilia miradi ambayo haijafanyiwa tathimini ya athari kwa mazingira katika maeneo yao ya kazi
  • Kuandaa taarifa ya hali ya mazingira katika maeneo ya kazi
  • Kusimamia na kutekeleza kazi nyingine zitakazoelekezwa na mamlaka za juu.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.