• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

Finance and Trade

MAJUKUMU YA IDARA YA FEDHA NA BIASHARA


I) SEHEMU YA FEDHA


1. Uandishi wa hati za malipo na hati za kupokelea fedha.

2. Kuandika na kutunza regista zinazohusu shughuli za kihasibu.

3. Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha na amana.

4. Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu

5. Kupeleka barua/nyaraka za kihasibu baki.

6. Kusimamia, Kupokea na kutunza fedha.

7. Kutunza daftari la fedha.

8. Kufanya usuluhisho wa hesabu za kibenki.

9. Kukagua hati za malipo (pre-audit).

10. Kupitisha malipo kulingana na kanuni za fedha.

11. Kuidhinisha hati za malipo.

12. Kuandika taarifa ya mapato na matumizi ya mwezi, robo na mwaka.

13. Kuandika taarifa za maduhuli.

14. Kutayarisha hesabu za mwisho.

15. Kukagua Ankara za manunuzi ya vifaa vya Idara.

16. Kujibu hoja zitokanazo na ukaguzi.

17. Kutayarisha na kurekebisha payroll za mishahara ya watumishi.

18. Kutayarisha rasimu za hesabu za Halmashauri kwa ajili ya Kamati ya Bunge ya hesabu za Serikali.

19. Kutayarisha makisio ya mapato na matumizi.

20. Kutoa elimu na ushari juu ya masuala ya fedha.


II) SEHEMU YA BIASHARA


1. Kusimamia sheria za leseni.

2. Kutoa elimu ya ujasiliama na elimu ya biashara.

3. Kufanya utafiti wa masoko na udhibiti wa bei elekezi.

4. Kuandaa na kutunza kumbukumbu za kibiashara.

5. Kuunganisha sekta binafsi na Serikali kwenye masuala ya kibiashara.

6. Kutoa leseni, kukagua na kusimamia matumizi ya leseni.

7. Kufanya tathimini ya mwenendo wa shughuli zote za biashara katika eneo la mamlaka na kuandaa bajeti husika.

8. Kutoa ushauri kwa watunga sheria ili kuendana na mazingira ya soko huria katika kulinda haki za walaji.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.