• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

History

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi ilianzishwa tarehe 25/09/2015 kwa Tangazo la Serikali (GN.Na 433B) ya mwaka 2015,

Halmashauri hii iligawanywa kutoka Halmashauri Mama ya Manyoni.

Uamuzi wa kuanzisha Halmashauri hii ulitokana na Halmashauri ya  Wilaya ya Manyoni kuwa Kubwa sana na hivyo kuathiri utoaji wa huduma kwa wananchi na hivyo kulikuwa na umuhimu wa kuigawa ili kusogeza huduma za wananchi kwa Karibu zaidi.

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi ina Jimbo moja la Uchaguzi ambalo Itigi,Tarafa ni Moja, Kata 13, vijiji 39 na vitongoji 175.

Shughuli kuu za Kiuchumi za wananchi ni Kilimo cha mazao ya Chakula na biashara, ufugaji wa ng'ombe,mbuzi ,kondoo,Kuku, ufugaji wa nyuki, uchimbaji wa Madini ya Jasi.

Sehemu kubwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi ni Hifadhi ya Wanyama ya Kizigo/Muhesi/Rungwa ambapo uwindaji wa Kitalii hufanyika.

Kwa upande wa Mipaka, kwa upande wa Mashariki inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Magharibi Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge na Uyui Mkoa wa Tabora, Kaskazini Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi na Kusini inapakana na Chunya, Mkoa wa Mbeya.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.