• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Teknolojia, Habari na Mawasiliano

MAJUKUMU YA KITENGO CHA TEKNOLOJIA HABARI NA MAWASILIANO:

(a) Majukumu

  • Kutayarisha mpango Mkakati wa Teknolojia, Habari na Mawasiliano ikiwa ni pamoja na Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Teknolojia, Habari na Mawasiliano.
  • Kuishauri Menejimenti ya Halmashauri ya masuala yanayohusu sera za Teknolojia, Habari na Mawasiliano na utekelezaji wa dhana ya Serikali Mtandao.
  • Kutathimini, kuboresha na kusimamia Teknolojia Habari na Mawasiliano na usimamizi wa mifumo ya taarifa/habari iliyosimikwa/iliyowekwa kwenye halmashauri.
  • Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya Teknolojia Habari na Mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo
  • Kuandaa sera ya Teknolojia Habari na Mawasiliano.
  • Kusimamia Tovuti ya Halmashauri pamoja na mifumo mingine.
  • Kuweka usalama wa hifadhi data.
  • Kusimamia maboresho ya programu za kompyuta kwa wakati.
  • Kusakinisha, kusanidi na kuboresha progrmu za kuzuia virusi vya kompyuta (Install, configure and update antivirus software).
  • Kuelimisha watumiaji masuala mbalimbali yanayohusu usalama, hatari na udhaifu katika mifumo ya TEHAMA.
  • Kukagua mifumo ya TEHAMA mara kwa mara.
  • Kuweka viwango vya usalama na udhibiti katika mifumo ya TEHAMA kwa watumiaji.
  • Kusanifu, kusakinisha na kusanidi miundombinu ya ndani na nje ya mtandao wa kompyuta (Desing, install and configure LAN and WAN infrastructure).
  • Kufanya majaribio ya vifaa vya mtandao wa kompyuta.
  • Kushauri kitaalam katika manunuzi ya vifaa bora na vya kudumu vinavyohusu TEHAMA.
  • Kutengeneza vifaa vyote vya TEHAMA vinapoharibika au kutofanyakazi iliyokusudiwa.

(b) Idadi ya watumishi wa Kitengo cha TEHAMA:

Kwa sasa kitengo cha TEHAMA kina watumishi wawili wanaosimamia jumla ya mifumo minane ikiwemo:

  • Mfumo wa ukusanyaji wa mapato (LGRCIS).
  • Mfumo wa kusimamia malipo ya fedha (Epicor).
  • Mfumo wa kusimamia taarifa za watumishi (HCMIS/Lawson).
  • Mfumo wa kusimamia taarifa ya vituo vya kutolea huduma za Afya (GoTHOMIS).
  • Mfumo wa kusajili wanafunzi wa elimu ya msingi (PReM).
  • Mfumo wa kusimamia takwimu za elimu Msingi na Sekondari (BEMIS).
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi (GWS)
  • Barua pepe za Halmashauri ya Wilaya ya Itigi (GMS)

Matangazo

  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MSIGWA ATETA NA MAAFISA HABARI WA ORTAMISEMI

    May 24, 2025
  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa