• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

Internal Audit

WASIFU WA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI

Utangulizi 
Mkaguzi wa Ndani amepewa Mamlaka ya Kisheria ya kufanya ukaguzi kupitia kifungu Na. 45 (1) cha Sheria ya Fedha za Serikali ya Mitaa Na. 9 ya mwaka 1982 (iliyorekebishwa 2000), Agizo Na. 14 (7) la Memoranda ya Fedha ya Serikali ya Mitaa ya mwaka 2009, Kifungu Na. 30 cha Sheria ya Manunuzi ya mwaka 2011 pamoja na kanuni zake za mwaka 2013 na kufuata Viwango vya Kimataifa vya Ukaguzi wa Ndani (IPPF) vilivyotolewa na Shirikisho la Wakaguzi wa Ndani na Viwango vingine vinavyotumika.

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina jukumu la kutoa ushauri ili kusaidia Idara zingine ndani ya Halmashauri kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Madhumuni ya Kitengo
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kinawajibu wa kufanya ukaguzi juu ya utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri pamoja na usimamizi wa rasilimali za Halmashauri na kutoa ushauri kwa Afisa Masuuli unaolenga kuboresha huduma za Halmashauri ili kufikia Malengo yaliyopangwa.

Muundo wa Kitengo 
Kitengo kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani akisaidiwa na Wakaguzi wa Ndani. Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina mkaguzi mmoja kwa sasa.

Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani.
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina wajibu wa Kufanya ukaguzi na kutoa taarifa ya kila robo mwaka.kwa Afisa Masuuli na Kamati ya Ukaguzi ya Halmashauri. Kitengo kina majukumu yafuatayo:-

  • Kupitia, kuhakiki na kuifanyia majaribio mifumo mbalimbali ya udhibiti wa ndani ya Halmashauri (“Internal Control Systems”) na kutoa ushauri kwa Afisa Masuuli juu ya uboreshaji wake.
  • Kupitia, kuhakiki na kuifanyia majaribio mifumo ya kujikinga dhidi ya vihatarishi ndani ya Halmashauri (Institutional Risk Management).
  • Kupitia, kuhakiki na kutoa taarifa juu ya ukusanyaji wa maduhuli ya Halmashauri.
  • Kupitia na kutoa taarifa juu ya matumizi ya fedha za umma ndani ya Halmashauri..
  • Kupanga na kufanya ukaguzi kwa kuzingatia maeneo yenye vihatarishi vitakavyasababisha kutokufikia malengo ya Halmashauri (High Risk Areas).
  • Kusaidia Uongozi na Menejimenti ya Halmashauri kuboresha utendaji ili malengo yaweze kufikiwa kwa kutoa ushauri mbalimbali kama inavyohitajika.
  • Kupitia kanuni, sheria na taratibu mbalimbali zilizowekwa na Serikali na kutoa ushauri juu ya utekelezaji wake.
  • Kukagua na kutoa ushauri kwa Afisa Masuuli juu ya matumizi, utunzaji na usimamizi wa rasilimali zote za Halmashauri.
  • Kazi nyingine zinazoelekezwa na Afisa Masuuli.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.