• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

ACTION AGAINST HUNGER YAKABIDHI ZANA ZA KILIMO CHA BUSTANI ZA MBOGA NA MATUNDA KATIKA SHULE SITA ZA SEKONDARI

Posted on: June 4th, 2024

Shirika la Action Against Hunger linalotekeleza mradi wa Lishe na Afya wa  Gender Equitable Nutrition in Tanzania and Uganda (GENTU) kwa kushirikiana na shirika la SEMA leo tarehe 4/6/2024 limekabidhi zana za kilimo cha bustani  katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi kwa lengo la  kurahisisha shughuli za kilimo cha mboga na matunda shuleni kwa ajili ya kuboresha chakula cha wanafunzi wanaokula shuleni sambamba na utekelezaji wa Mkataba wa Lishe

Akipokea vifaa hivyo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi Suzana Mushi ameshukuru Shirika hilo na kusema kuwa vifaa hivyo vitasidia shule husika katika kuzalisha mazao ya mboga na matunda kupitia kilimo cha bustani pamoja na kudumisha usafi katika mazingira ya shule.

Shule zitakazo nufaika na msaada wa vifaa hivyo vya kilimo kutoka Shirika la Action Against Hunger ni Shule ya Sekondari ya Mgandu, Sanjaranda, Idondyandole, Mitundu, Kalekwa na Kamenyanga ambapo zana zilizotolewa ni Toroli 12, Reki 18, Majembe ya mkono 19, Keni 24, Mikasi 24, Beleshi 18 ambavyo kwa jumla vimegharimu kiasi cha TZS 3,292,000/=.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.