• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

AJENDA YA KILIMO NI KIPAUMBELE CHA MKOA WA SINGIDA-RC.SERUKAMBA

Tarehe ya Kuwekwa: September 8th, 2022


Wakulima wa Mkoa wa Singida wamedhamiria kuondoa changamoto ya uhaba wa mafuta ya kupikia ambapo Taifa limekuwa likilazimika kuagiza bidhaa hiyo  nje.ya nchi

Akiongea na Madiwani na wakuu wa Idara mbalimbali za ofisi ya halmashauri ya Itigi leo katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya hiyo,Mkuu wa Mkoa huo Peter Serukamba amesema Serikali imeendelea kuwaunga mkono wakulima wa Mkoa huo kwa kupunguza gharama za pembejeo kutoka 140,000 kwa mfuko hadi kufikia Tsh.70,000 jambo ambalo litasaidia kuongeza uzalishaji.

Amesema Mkoa wa Singida umedhamiria kuongeza eneo la kilimo kwa kupitia wadau mbalimbali wakiwemo wakulima wadogo, wakubwa, vikundi AMCOS mbalimbali vikundi vya wakulima na kupitia mashamba ya shule.

RC Serukamba ameeleza kwamba Serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa hasa katika bajeti ya kilimo hivyo wakulima wa Singida wataisaidia Serikali kwa kuhakikisha wanaongeza mashamba ya alizeti, mahindi, vitunguu, mbaazi mpunga na viazi.

"Katika mkakati wa alizeti wa mwaka huu Singida tumejipanga kuhakikisha mafuta yote yaliyokuwa yakiagizwa nje ya nchi yanapaitikana Mkoani hapa, muhimu ni viongozi wa vijiji Madiwani na watendaji kuhakikisha kwamba kila Halmashauri inaongeza eneo la kilimo" alisema.

Aidha amewataka wakulima kuanza maandalizi ya Kilimo na kuhakikisha mvua za kwanza zinakuwa za kupandia ili kuondoa mazoea ya kutumia mvua za katikati ambazo mara nyingi zinakuwa hazina matokeo mazuri.

Amewahakikishia wakulima Mkoani humo kuwa Serikali itaweka Mazingira wezeshi kuhakikisha mbegu bora na mbolea zinapatikana kwa bei ya chini pamoja na masoko ya bidhaa hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa