• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

Posted on: November 1st, 2024







  • Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Dkt.Vicent Mashinji amepiga marufuku ukataji wa uoto wa asili wa vichaka vya Itigi kwa kuwa uoto huo una uwezo mkubwa wa kuondoa kaboni kwenye hewa na unaweza kutumika kama chanzo cha mapato ya halmashauri

    Hayo ameyasema katika mkutano wa baraza la Madiwani wa robo ya pili na kutoa maelekezo kuwa kila Kijiji lazima kiweke akiba ya misitu ikiwa ni pamoja na kuhifadhi vichaka vya itigi

    Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Itigi Mhe.Hussein Simba amesema kwa robo ya kwanza yam waka wa fedha 2024-2025 halmashauri imekusanya imekusanya mapato kwa asilimia hamsini huku akibainisha siri ya mafanikio hayo kuwa ni ushirikiano mzuri uliopo kati ya Wataalamu pamoja na Madiwani

    Aidha Mhe.Simba amesisitiza usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali ya halmashauri ili iweze kukamilika na kuleta tija kwa jamii

    Kwa upande wake Katibu Tawala Msaidizi kwa upande wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Singida Bi.Donatila Vedast ameitaka halmashauri kutenga maeneo na kuweka mazingira rafiki kwa ajili uwekezaji hasa katika eneo la kilimo ili kuharakisha maendeleo ya halmashauri

    Hata hivyo Afisa Tawala Wilaya ya Manyoni Leila Sawe amesisitiza ukamilishaji wa miradi viporo ili ianze kutumika.

    Pia Kaimu Mwenyekiuti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mhe.Jonathan Dule ameipongeza halmashauri kwa kuvunja rekodi ya ukusanayaji wa mapato kwa zaidi ya asilimia hamsini katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2024-2025






Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.