• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

DC.LWOTA AZINDUA MAADHIMISHO WIKI YA CHANJO ITIGI DC

Tarehe ya Kuwekwa: April 25th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe.Kemilembe Lwota amesema mpango wa dunia ifikapo mwaka 2030 ni kuwa  magonjwa ya surua ,pepopunda na polio yawe yamedhibitiwa huku akisisitiza kuwa jambo hilo litafanikiwa endapo jamii itahamasika kuwapeleka watoto kupata chanjo

Akizungumza katika uzinduzi wa wiki ya chanjo Duniani ambayo kwa wilaya ya Manyoni imefanyika katika Halmashauri ya Itigi na kuongeza kuwa Maadhimisho hayo yanalenga jamii kutambua umuhimu wa chanjo katika kukinga milipuko ya magonjwa yanayoweza kusababisha ulemavu n ahata vifo.

Amesema takwimu zinaonesha kuwa wanaowaathirika  Zaidi na magonjwa yanayoazuilika kwa chanjo ni watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano.

Aidha  Dc Lwota amewapongeza wananchi wa Itigi kwa mwitikio mkubwa kujitokeza katika maadhimisho hayo hata hivyo amesisitiza kutolewa kwa elimu ya mara kwa mara kwa jamii juu ya umuhimu wa watoto na pia watu wazima kukamilisha chanjo za magonjwa mbalimbali.

Amefafanua kuwa changamoto kubwa inayoikabili jamii kuhusu huduma ya chanjo ni kutokukamilisha dozi za chanjo pamoja na kutofuata ratiba ya utoaji wa chanjo.

Mhe.Lwota pia amemshukuru Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kutoa fedha nyingi ili kuimarisha huduma za Aafya ngazi ya Msingi nchini ikiwa ni pamoja na kutilia mkazo mapambano dhidi ya magonjwa yanayweza kuzuilika kwa chanjo.

Maadhimisho ya Wiki ya Chanjo Duniani mwaka huu yamebeba kauli mbiu inayosema “Tuwafikie Wote kwa Chanjo” huku Ujumbe ukiwa ni  “Jamii iliyopata Chanjo,Jamii yenye Afya’.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa