• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

ELIMU KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ITIGI MAJENGO JUU YA UMUHIMU WA MAZINGIRA

Posted on: May 31st, 2025

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Itigi Majengo wamepatiwa mafunzo kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika Kila tarehe 5 Juni

Mafunzo hayo yamehusisha mada mbalimbali kuhusu ulinzi wa mazingira, usafi, na madhara ya uchafuzi wa mazingira kwa afya ya binadamu.


Mafunzo hayo yametolewa na Afisa Afya Ndg @lyambogomalembo kwa kushirikiana na Maafisa Mazingira Ndg. Placidia Pancreas na Ndg Shaun Ponela , ambapo wanafunzi walielimishwa kuhusu njia bora za kuhifadhi mazingira kupitia matumizi sahihi ya taka, kupanda miti, na kuhimiza tabia ya usafi katika maeneo ya shule na jamii kwa ujumla.


Viongozi hao waliwahamasisha wanafunzi kuwa mabalozi wa mazingira katika familia na maeneo yao.

Kupitia elimu hiyo, wanafunzi wamepata uelewa mpana juu ya nafasi yao katika kulinda mazingira, huku wakiahidi kuwa sehemu ya mabadiliko chanya ya kimazingira katika @itigi_dc

Maadhimisho hayo yamebeba kaulimbiu ya mwaka huu: "Komesha uchafuzi wa Mazingira unaochangiwa na Taka Plastiki"

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.