• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

HALMASHAURI YA ITIGI YAENDELEA KUFANYA VIZURI UKUSANYAJI MAPATO

Tarehe ya Kuwekwa: November 4th, 2022

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Itigi Mhe. Hussei Simba amesema kuwa halmshauri imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato ambapo  katika mwaka wa fedha 2022/2023 imekadiria kukusanya kiasi cha shilingi 24,767,979,000.00 ikiwa ni sawa na asilimia 9.2.

Mhe.Simba ameseka hayo katika kikao cha Baraza la madiwani la halmashauri ya Itigi lililofanyika tarehe 02/11/2022na kueleza kuwa mafanikio hayo yanatokana na jitihada za ubunifu wa vyanzo vya mapato, usimamizi katika ukusanyaji na ushirikiano mzuri uliopo baina ya wataalamu katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji na Madiwani kutoka kata zote 13 za halmashauri ya Itigi.

Hata hivyo Mwenyekiti huyo amesisitiza suala la kuwalipa kwa wakati stahili zao wakusanyaji wa mapato ili kuondoa  malalamiko  na kusababisha wakusanyaji hao wa mapato kuingiwa na tamaa ya kutumia fedha walizo kusanya na kupelekea upotevu wa mapato kwa halmashauri.

Mhe Kedmon Mpondo,Diwani kata ya Ipande,Mhe.Magreth Mwalwayo, diwani kata ya Majengo na Mhe.Ali Minja  pia wameunga mkono swala hilo na kusisitiza kuwa tayari wameshalifanyia kazi wao kama madiwani na kuwahakikishia wakusanyaji wa mapato kuwa waendelee kuchapa kazi.

Kwa upande wake Makamu wa Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mh.Jonathan Dulle amesisitiza kuwa msimu wa kilimo umekaribia hivyo ameshauri kuwa katika maeneo yasiyo na maafisa ugani basi ni vema watendaji wa vijiji na kata pamoja na maafisa elimu wa kata kuhusika moja kwa moja katika kuwasajili wakulima ili waweze kunufaika na ruzuku ya mbolea iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Samia Suluhu Hassan .

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa