• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

HALMASHAURI YA ITIGI YATOA MAFUNZO YA MAPISHI DARASA

Tarehe ya Kuwekwa: March 16th, 2022

             HALMASHAURI YA ITIGI YATOA MAFUNZO YA  MAPISHI DARASA

Jamii imetakiwa kuzingatia ulaji wa mlo kamili wenye viini lishe kutoka makundi matano ya chakula ili kuwa na jamii yenye afya kamilifu.

Wito huo umetolewa na Mratibu wa lishe na Muuguzi Mkuu wa Wilaya Ndg. FREDERICK GAISHA katika ziara ya kuhamasisha jamii juu ya mlo kamili kutoka makundi matano ya chakula kupitia MAPISHI DARASA iliyofanywa na Idara ya afya ya halmashauri ya Wilaya aya Itigi kwa niaba ya Mganga mkuu wa halmashauri kwa kushirikiana na Shirika la Action Against Hunger pamoja na wadau wa afya wa Kata na Vijiji.

Amesema kampeni hiyo ya uhamasishaji ililenga kutoa elimu ya vitendo jinsi ya kuandaa uji ulio boreshwa kwa kutumia makundi matano ya vyakula vinavyopatikana katika maeneo yao.

Aidha mwakilishi kutoka Shirika la Action Against Hunger Bwana Hilari Makundi amesema ziara hiyo pia ililenga kufanya tathimini ya lishe kwa watoto wa umri wa chini ya miaka mitano sambamba na kuhamasisha wanawake na akina mama kuhudhuria kliniki ya ujauzito kabla ya miezi mitatu ya ujauzito na kujifungulia katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Amefafanua kuwa faida za kuanza kliniki mapema ni pamoja na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vya watoto wachanga,kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa na uzito pungufu  na kuhamasisha juu ya  kujiunga na CHFiliyoboreshwa.

Baadhi ya vijiji vilivyo nufaika na ziara hiyo ni pamoja na Idodyandole,Tambukareli,Kalangali,Ipalalyuu,Mabondeni,Zinginali,Mgandu na Lulanga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa