• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

H'W ITIGI YAPONGEZWA UKUSANYAJI MAPATO

Tarehe ya Kuwekwa: September 8th, 2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mhesimiwa Hussein Simba  ametoa wito kwa Madiwani kushirikiana na timu ya wataalamu wa halmashauri usimamiza na utekeleza wa miradi mbalimbali katika Kata zao.

Mh.Simba  ametoa wito huo kwenye mkutanao wa baraza la madiwani kilichofanyika  septemba 8,2022 katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo na kusisitiza kuwa madiwani wanawajibu wa kusimamia na kufuatilia kila hatua za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao .

Aidha Mh. Simba ametaja baadhi ya mafanikio yaliyofikiwa na halmashauri hiyo ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambapo amesema kuwa halmashauri imefanikiwa kutekeleza  ujenzi wanyumba vya  madarasa kwa shule za msingi 147 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Bil.2,vyumba vya madarasa kwa shule za sekondari 29 kwa zaidi ya Sh. Bil.8 pamoja na miradi mingine ikiwemo ya Afya ,Maji,na miundombinu ya barabara ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara  katika maji wa Itigi yenye urefu wa km.10 kwa kiwango cha lami unaoendelea  wenye thamani ya zaidi y ash.Bil.8.

Hata hivyo Mwenyekiti huyo amempongeza  Mkurugenzi Mtendajia wa Halmashauri pamoja na timu yak e sambamba na Madiwani kwa kushirikiana katika ukusanyaji wa mapato ambapo mpaka sasa inakadiriwa kukusanya zaidi ya bilioni 1,sawa na asilimia 81.na kufanikiwa kupata HATI SAFI.

Katika hatua nyingine Mwenyekiti Simba amemtangaza Diwani wa Kata ya Mwamagembe Mh.Jonathan Dulle Hemed kuwa makamu wa Mwenyekiti wa Halmashauri kwa awamu ya pili  katika uchaguzi uliofanyika siku hiyo na kuibuka na ushindi kwa kura za ndio 18.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Itigi Bw.John Mgalula amesema halmshauri yake imejipanga kutatua kero kwa wanachi ikiwemo uvamizi wa wanyama pori aina ya tembo katika mashamba yao kwa kushirikiana na Idara husika  huku akiwataka wanachi kuchukua tahadhari  dhidi ya wanyama hao.

Bwana Mgalula ameongeza  kuwa Halmashauri yake pia inaandaa utaratibu wa kutembelea  miradi mbalimbali kwa kushirikiana na Kitengo cha Teknolojia ya Habari(TEHAMA) pamoja na vyombo vingine vya habari ili kuwafikishia wananchi taarifa mbalimbali za maendeleo katika Halmashauri yao.

Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa