• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

H'W YA ITIGI YASAINI MKATABA WA LISHE

Tarehe ya Kuwekwa: November 3rd, 2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mh. Hussein Simba ameshuhudia utiaji Saini utekelezaji wa Mkataba wa Lishe uliofanyika kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi na watendaji wa Kata 13 za Wilaya hiyo.

Awali akizungumza na watendaji hao Mhe Simba amewataka kuzingatia na kutekeleza maelekezo yote yaliyo katika Mkataba huo ili kuwezesha kufikia lengo na jamii yenye Afya.

Aidha,amewaagiza watendaji wa Kata kuhakikisha wanasimamia shughuli za Lishe kwenye Shule zilizo katika maeneo yao ili Wanafunzi wapate Chakula wawapo Shuleni.

Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi amewataka watendaji kutoa taarifa sahihi na kwa wakati za utekelezaji kila robo ambayo itakuwa unapima kiwango cha utekelezaji wa Mkataba huo.

Nae Mganga mkuu wa halmashauri ya Wilaya ya Itigi Dkt. Emmanuel Mallange amewasisitiza watendaji wa kata pamoja na waganga wafawidhi kufanya kazi kwa kushirikiana na walimu kwa shule zinazotoa chakula kwa wanafunzi ili kufanikisha utekelezaji wa maagizo yaliyopo katika mkataba huo wa Lishe.

Awali akitoa taarifa,Afisa Lishe wa Halmashauri ya Itigi Bi. Pendo Kabamba amesema kuwa Idara itahakikisha inafuatilia kwa makini utekelezaji wa mkataba huo uliohuishwa katika ngazi zote za serikali za mitaa sambamba na kuendelea kutoa elimu ya lishe kwa wananchi ili kujenga jamii imara na yenye afya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa