• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

ITIGI DC KUPITISHA RANDAMA YA BAJETI 2023/2024

Posted on: February 8th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi imepitia na kupitisha mpango wa bajeti ya zaidi ya bilioni ishirini na sita kwa mwaka 2023/2024 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali za halmashauri.

Akizungumza katika kikao Kikao cha Baraza la Halmashauri cha Kujadili randama ya Bajeti ya Mwaka 2023/2024 Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Hussein Simba amesema halmashauri ya Itigi imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo .

Aidha  amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuipatia halmashauri hiyo fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali za halmashauri huku akiwataka madiwani kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao.

Akiwasilisha taarifa ya Randama ya Mpango wa bajeti ya mwaka 2023/2024 Mkuu wa Divisheni ya Mipango Emmanuel Dyelu amesema halmashauri imeomba kuidhinishiwa takribani 8,112,907,000.00 kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo.

Dyelu ameainisha baadhi ya vipaumbele vya bajeti hiyo kuwa pamoja na mambo mengine halmashauri imepanga  kununua wa vishikwambi kwa ajili ya madiwani na wataalamu katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Kutekeleza mpango wa kutenga asilimia kumi kwa ajili ya vijana,wanawake na watu wenye ulemavu,kuboresha miundombinu ya elimu na Afya pamoja na kuandaa mpango kabambe wa halmashaur(Master Plan) ili kwenda na kasi ya ukuaji wa mji.

Kwa upande wake Diwani wa kata ya Itigi mjini Mh. Ali Minja akichangia mjadala huo wa Bajeti ameshauri halmashauri  kutenga fedha kwa ajili ya kujenga barabara mpya katika maeneo yasiyo na miundombinu hiyo ili kuongeza thamani ya maeneo /viwanja vinavyouzwa na halmashauri pia kuzijumuisha Shule za Msingi Itigi na Mlowa katika mpango wa kuzikarabati shule kongwe.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.