• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

KAMATI YA SIASA CCM MKOA YAKAGUA MIRADI ITIGI DC

Tarehe ya Kuwekwa: February 17th, 2023

Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Singida Imefanya ziara ya kutembelea miradi mbalmbali ya maendeleo katika halmashauri ya Wilaya ya Itigi na kuridhishwa nakasi ya utekelezaji wake

Akizungumza baada ya kupokea taarifa za miradi hiyo ,Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa wa CCM mkoa Mh. Martha Mlata amesema amefurahishwa na kasi pamoja na ubora wa utekelezaji wa miradi katika halmashauri ya Itigi

Amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Rais Dkt Samia Suluhu Hassani imewekeza fedha nyingi ili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchi nzima ikiwemo halmashauri ya Itigi hivyo ni lazima kuwepo na usimamizi makini ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati na viwango na kuleta tija kwa wananchi.

Aidha amewataka viongozi wa halmashauri kubaini changamoto zinazoweza kujitokeza na kuzitafutia majibu mapema ili kuepusha miradi kutokamilika kwa wakati

Akitolea ufafanuzi wa hoja ya Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Ismail Makanda kuwa TFS haishirikiani na taasisi nyingine katika utekelezaji wa majukumu ya serikali amesema kuwa TFS ni chombo cha serikali hivyo hakuna namna yoyote kinaweza kukwamisha utekelezaji wa miradi kwa kuzuia vifaa vya ujenzi kama milango ,madirisha huku akisisitiza kuwa halmashauri ionane na maafisa wa tfs ili kupata maelekezo na utaratibu unaofaa ili kujenga mahusiano maziri.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Itigi Ndg. John Mgalula amesema kwa upande wa Halmashauri imetenga Shilingi milioni hamsinii kwa ajili ya kukamilisha mradi wa ujenzi wa wa zahanati ya Mabondeni huku Mwenyekiti wa halmashauri Mh. Hussein Simba akiongeza kwa halmashauri imejipanga kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati kwa kuwa fedha ipo pamoja na vifaa vingine vya ujenzi.

Kamati ya Siasa ya mkoa imekagua miradi miwili katika halmashauri ya Itigi ukiwemo mradi wa maji katika kijiji cha Njirii na zahanati katika kijiji cha Mabondeni.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa