• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

KAMATI YA SIASA WILAYA YA MANYONI YAIPA KONGOLE ITIGI DC UTEKELEZAJI MIRADI

Posted on: August 28th, 2024

Kamati ta Siasa ya Wilaya ya Manyoni imeridhishwa na utekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Itigi

Akiongea wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg.Jumanne Makanda amesema miradi yote ambayo kamati imetembelea inatekelezwa kwa ubora unaolingana na thamani halisi ya fedha zilizotolewa.

Hata hivyo Makanda ametoa msisitizo kwa kamati zote zinazo simamia ujenzi wa miradi kushirikiana Pamoja ili kurahisisha utekelezaji wa miradi kwa viwango vya ubora ili kuleta tija kwa jamii

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe.Vincent Mashinji ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Itigi kwa kuwa na taarifa sahihi za miradi inayotekelezwa huku akisisitiza miradi kukamilika kwa wakati ili ianze kutumika.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Ndg. Ayoub Kambi amesema amepokea maelekezo na ushauri kutoka kwa Kamati na kuahidi kufanyia kazi ikiwa ni Pamoja na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na kuanza kutumika

Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Manyoni imetembelea na kukagua miradi sita ikiwa ni Pamoja na Ukamilishaji wa Maabara ya biolojia na chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari ya Kamenyanga,chumba kimoja cha darasa katika shule ya msingi Gurungu,Hosteli ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Mlowa,madarasa mawili katika shule kongwe ya msingi Itigi Mjini Pamoja na chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Handu.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.