• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA TATU KUANZA SEPT 1-4/2022

Posted on: August 31st, 2022

Kaimu mkuu wa Wilaya ya Manyoni Bw. Suleimani Mwenda ameitaka kamati ya msingi ya Afya ngazi ya jamiikuishauri serikali kuhusu njia bora za kutatua changamotozinazoikabili sekta ya afya katika kutoa huduma kwa jamii.

DC Mwenda amesema hayo katika kikao cha tathimini ya zoezi la kampeni ya chanjo ya polio ya awamu ya pili iliyofanyika mei 18 -21/2022 ili kubaini na kuainisha changamoto zilizojitokeza na kuzipatia ufumbuzi kuelekea zoezi la kampeni ya chanjo ya polio ya awamu ya tatu itakayoanza septemba 1-4/2022.

Pia amesisitiza juu ya ajenda ya  Mkoa kuhusu kila mwanachi kuhakikisha anakuwa na Bima ya Afya iliyoboreshwa(CHF)na kuongeza kuwa Kamati ya msingi ya afya wanawajibu wa kutoa elimu na hamasa kwa jamii kuhusu umuhimu wa kila mwanachi kuwa na Bima ya afya.

Kwa upande wake Mganga mkuu wa halmashauri ya Itigi Dkt Emmanuel Mallange amesema kuwa Kampeni ya chanjo ya polio ya awamu ya pili ilifanikiwa kwa asilimia 140 huku akiiomba kamati ya msingi ya afya ngazi ya jamii kuendelea kuhamasisha jamii ili iweze kushiriki  kikamilifu katika kampeni ya chanjo hiyo ya awamu ya tatu.

Awali akitoa taarifa ya kampeni ya chanjo awamu ya pili na mikakati ya utekelezaji katika kampeni ya chanjo awamu ya tatu ,Mratibu wa chanjo wa Halmashauri ya Itigi Bw. Maige Minyanyasai amesema kuwa lengo la kampeni hii ni kwafikia watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano na kuwapatia chanjo sanjari na kutoa elimu kwa jamii kuhusu ugonjwa wa polio na madhara yake.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.