• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

Posted on: December 10th, 2024

Jamii imetakiwa kuwa mabalozi wa kupinga  vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake,Watoto na watu wenye makundi maalumu pamoja na kuepuka unyayapaa kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI.

Hayo yamesemwa na Mgeni rasmi,Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mhe.Jonathani Dulle,diwani wa Kata ya Mwamagembe katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI sambamba na maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili yaliyofanyika katika viwanja vya sendi ya zamani mjini Itigi.

Mhe.Dulle ameitaka jamii kuhakikisha inazingatia ulinzi na usalama wa wahanga wa ukatili wa kijinsia kwa kuendelea kupinga na hata kutoa taarifa za vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa mamlaka za kiserikali.

Aidha ameikumbusha jamii kupima na kutambua afya zao ili waweze  kuchukua hatua stahiki sanjari na kuepuka vitendo vinavyoweza kusababisha maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Awali akisoma taarifa kwa mgeni rasmi Mratibu wa UKIMWI halmashauri ya Wilaya ya Itigi Fredi Lotti amesema halmashauri ina asilimia 3 ya watu wanaoishi na maambukizi ya UKIMWI huku idadi ya watu wanaotumia dawa za kufubaza makali ya virusi ni 3.751

Lotti amesema halmashauri imeendelea kutoa elimu kuhusu njia za kujikinga na maambukizi,ushauri nasaha,upimaji wa virus vya UKIMWI kwa hiari.

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani mwaka 2024 yamebeba kaulimbiu’’ Chagua Njia sahihi tokomeza UKIMWI’’ huku kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku16 za kupinga Ukatili wa kijinsia ikiwa ni’’Chagua kutokomeza Ukatili wa Kijinsia’’

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.