• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MAAFISA TEHAMA WA HALMASHAURI ZA MKOA WA SINGIDA WAJENGEWA UWEZO KATIKA KUSIMAMIA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA TEHAMA KATIKA HALMASHAURI ZAO

Tarehe ya Kuwekwa: October 3rd, 2018

Katika kuhakikisha Mifumo mbalimbali ya TEHAMA inayotumika katika Mamlaka za Serikali za Mitaa inatumika ipasavyo na kuendelea kuleta matokeo chanja na kuendelea kuboresha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi kwa kutumia TEHAMA, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida imeamua kufanya mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Singida katika  kusimamia Mifumo na Miundombinu ya TEHAMA katika Halmashauri zao.


Katika Mafunzo haya, Maafisa TEHAMA wa Mamlaka za Serikali za Mitaa  wanajengewa uwezo katika kusimamia mifumo yote inayotumika katika Mamlaka zao pamoja na Miundombinu ya TEHAMA.


Washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wa Halmashauri za Mkoa wa Singida wakiwa katika nyuso zenye furaha kwa kufurahia jambo wakati wakifuatilia  mada iliyokuwa ikitolewa na mwezeshaji ambaye ni Afisa TEHAMA - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida Bw. Baraka Mhembano.


Washiriki wakifuatilia Mafunzo kwa makini.


 Mafunzo yakiendelea.


 Sehemu ya Washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wa Halmashauri za Mkoa wa Singida wakiwa katika nyuso zenye tabasamu kwa kufurahia jambo wakati wakifuatilia  mada.

 Mafunzo yakiendela.


 Afisa TEHAMA , Ofisi ya Mkuu wa mkoa Singida Bw. Baraka Mhembano, akiwa anawajengea uwezo washiriki katika usimamizi wa mfumo wa kielektroniki wa uendeshaji wa Hospital (GoT-HOMIS).

 Sehemu ya washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wa Halmashauri za mkoa wa Singida.


 Afisa TEHAMA, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Bw. Athuman Simba akizungumza wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wa Halmashauri za Mkoa wa Singida.


 Mmoja wa Washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wa halmashauri za mkoa wa Singida, Bw. Salum Omary - Afisa TEHAMA Halmashauri ya Iramba  akizungumza jambo katika Mafunzo hayo.


Mmoja wa Washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wa Halmashauri za Mkoa wa Singida Bi. Eva Myula ambaye ni Afisa TEHAMA Halmashauri ya Ikungi akifuatilia mafunzo kwa Vitendo.


Mwezeshaji wa Mafunzo, Afisa TEHAMA, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida Bw. Baraka Mhembano, akitoka katika ukumbi wa mikutano yanapofanyika mafunzo.

Afisa TEHAMA, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida Bw. Baraka Mhembano (kulia) akiwa na Afisa TEHAMA wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni Bw. Abas Said wakizungumza jambo baada ya kutoka kwenye mafunzo.


 Washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa TEHAMA wa Halmashauri za Mkoa wa Singida wakiwa katika picha ya pamoja.


Aidha, Washiriki wameipongeza na kuishukuru Serikali ya Mkoa wa Singida kwa kuwezesha Mafunzo haya muhimu sana kwa Maafisa TEHAMA wa Halmashauri kwakuwa yanawawezesha kuwa na uelewa mkubwa wa Mifumo na Miundombinu ya TEHAMA na hivyo kuisimamia vyema.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa