• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Madiwani Itigi wamtaka Mganga Mkuu kuwachukulia wauguzi wazembe hatua

Tarehe ya Kuwekwa: April 9th, 2019

Waheshimiwa madiwani wa halmashauri wamemtaka Mganga Mkuu Dr Robert Manyerere kuwachukulia wauguzi hatua mara moja za kinidhamu.  Azimo hilo limetolewa leo kwenye Kikao cha kamati ya Elimu , Afya na Maji Baada ya Mh Diwani kata ya Ipande Hamisi Mwinje kutoa Malalamiko kwenye kikao hicho

Hamisi Mwinje alikiambia kikao kuwa Wauguzi wamekuwa hawatumii taaluma zao ipasavyo katika kutoa huduma na kupelekea  Malalamiko kwa Wananchi.  Hata hivyo Mh Mwinje aliomba kuwa badala ya kuwahamisha vituo wauguzi au watumishi ambao wanaonesha udhaifu katika utendaji wao kazi ni vema wakaadhibiwa katika maeneo yao kwanza badala ya kuwahamisha vituo ambapo unakuwa hutibu tatizo

Mganga Mkuu Akijibu Hoja hizo amesema kuwa tayari ofisi yake imeshaanza kuchukua Hatua mbalimbali, kwa watumishi ambao wanalalamikiwa na Wananchi pamoja na Vikao mbalimbali  vinaendelea kuwajadili watumishi wa Idara ya Afya Wanaofanya kazi chini ya kiwango

Nae Kaimu Mkurugenzi  wa Halmashauri ya Itigi Bi Doreen  Lutahanamilwa alisema kuwa Halmashauri itaendelea na utaratibu wake wa kuendelea kuchukua hatua kwa watumishi wote ambao wanafanya kazi kwa mazoea na kupelekea Malalamiko kwa Wananchi

Aidha Lutahanamilwa alimtaka Mganga Mkuu kuhakikisha Huduma za afya zinatolewa ipasavyo katika vituo vya afya na zahanati zote pamoja na kuhakikisha Mapato  yatokanayo na Bima ya Afya yanaongezeka

Mwenyekiti wa kamati ya Elimu, Afya na Maji Mh Husein Simba na Diwani wa kata ya Tambukareli amesema kuwa pamoja na Vituo vya Afya na Zahanti kufanya kazi nzuri ni vema usimamizi ukaongezeka wa kusimamia mienendo ya kinidhamu ya watumishi hasa wa Afya ambao wanalalamikwa pamoja na kufanya kazi zao kwa kutumia weledi na Taaluma zao. Pia katika suala na kuchukua hatua za kinidhamu ni vema hatua hizi zikawa zinachukuliwa mapema na kwa haraka zaidi

Katika Hatua nyingine Mwenyekiti wa kamati ya Elimu , Afya na Maji amemuagiza mhandisi wa Maji wa Wilaya kuhakisha Miradi ya Maji yote inayotekelezwa inasisimamiwa vizuri na inafanyika kwa haraka na kwa vigezo Vinavyokubaliwa

Waheshimiwa Madiwani wakipitia Makabrasha katika kikao cha Kamati ya Elimu ,Afya na maji

Mh Diwani wa Kata ya Ipange Hamis Mwinje akichangaia agenda katika kikao cha kamati  ya Elimu , Afya na Maji

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa