• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MAFUNZO YA ELIMU YA UNUNUZI NA UGAVI YATOLEWA NGAZI YA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA,ITIGI DC

Tarehe ya Kuwekwa: September 7th, 2022

Watumishi wa Umma wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na weledi  katika maeneo yao ili kuepuka hoja za wakaguzi wakati wanapotekeleza majukumu yao.

Hayo yamesemwa leo  na Afisa Mkuu wa serikali za Mitaa Bw.Cosmas katika mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa shule za Sekondari,Waalimu wakuu wa shule za msingi,Wajumbe wa Kamati za usimamizi wa miradi,Waganga wafawidhi wa zahanati na vituo vya Afya kuhusu Sheria ,taratibu ,kanuni na miongozo ya Ununuzi na Ugavi  yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Itigi.

Bw.Sikali amesisitiza kuwa Mkuu wa mkoa wa Singida  Peter Serukamba amesema hataki kusikia hoja za wakaguzi katika taasisi za umma na kuongeza kuwa  ilikufikia azima hiyo Watumishi  wanapaswa kufanya kazi kwa upendo na kuheshimiana baina yao ili kuleta ufanisi katika kazi.

Amesema kuwa hoja zinazojitokeza mara kwa mara katika taasisi za umma hasa katika usimamizi wa miradi ya maendeleo ndizo zimepelekea Serikali ya Mkoa kupanga kutoa mafunzo ya Elimu ya Manunuzi na Ugavi ngazi ya vituo vya kutolea huduma (Facility level).

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi Dkt. Emmanuel Mallange amesema kuwa mafunzo hayo ni muhimu sana na yamekuja wkwa wakati unaofaa ili kuwasaidia watumishi kuepuka kukiuka sheria na taratibu mbalimbali za manunuzi na ugavi.

Aidha Dkt.Mallange amewakumbusha  Watumishi hao katika nafasi zao kutoa elimu kwa jamii kuhusu maono na vipaumbele vya mkoa ikiwa ni pamoja na kila mwananchi WA Mkoa wa Singida kuwa na Bima ya Afya  iliyoboreshwa(CHF).

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa