• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

MAJALIWA KUFANYA ZIARA SINGIDA

Posted on: July 14th, 2022

WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa, anatarajia kufanya ziara ya siku nne mkoani Singida ambapo pamoja na mambo mengine atakagua miradi ya maendeleo na kuweka jiwe la msingi katika miradi mbalimbali.Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, imeeleza kuwa Waziri Mkuu atanza ziara hiyo kesho  Julai 15 hadi Juali 19, mwaka huu ambapo ataanzia katika Wilaya ya Manyoni.Akiwa katika Kata ya Solya Wilaya ya Manyoni,atapokea taarifa ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Singida ya Solya na kuweka jiwe la msingi na baadaye kupokea taarifa ya mkoa na kisha kuzungumza na watumishi.Aidha,Waziri Mkuu atapokea taarifa na kutembelea ujenzi wa barabara ya kilometa 10 Itigi mjini na baadaye kuzungumza na wananchi na jioni ataweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Mtoa na kisha kuzungumza na wananchi.Julai 16, Waziri Mkuu, atawasili Wilayani Iramba ambapo atatembelea mradi wa maji Misigiri,atazungumza na wananchi  pamoja na  watumishi.Aidha, Waziri Mkuu, Majaliwa atakuwa katika Wilaya ya Makalama ambako atatembelea mradi wa ujenzi wa daraja la mawe na baadaye mchana atazindua ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mkalama na kusalimiana na wananchi.Julai 18, atakuwa katika Wilaya ya Ikungi, atapokea taarifa na kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Irisya na mchana atatembelea makazi ya viongozi wa kitaifa.Baadaye ataweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha VETA na Hospitali ya Wilaya na kuzungumza na wananchi.Waziri Mkuu atahitimisha ziara yake katika Wilaya ya Singida Julai 19, kwa kuweka jiwe la msingi ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida na kuzungumza na wananchi.Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atatembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida ya Mandewa na kuzungumza na watumishi

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.