• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

Mh. Simba Amevitaka Vikundi vilivyapatiwa Mkopo wa Pikipiki katika Halmashauri ya Itigi Kufanya Kazi kwa Bidii

Posted on: October 12th, 2021

Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Wilaya Ya Itigi  Mh Hussein Simba  amevitaka Vikundi viwili vilipatiwa Mkopo utokanao na Mapato ya Ndani kufanya Kazi kwa Bidii. Simba Ameyasema hayo wakati wa Makabidhino ya Pikipiki yaliyofanyika nje ya Jengo la Halmashauri  wilaya ya Itigi

“ Niwaombe vikundi hivi viwili Mapambano na Upendo hakikisheni mnafanya Kazi kwa bidi ili muwe Mfano kwenye jamii , tumieni pikipiki hizi vizuri na ziweze kuwanufaisha kiuchumi lakini pia hakikisheni mnarejesha marejesho kwa Mkopo huo usio kuwa na Riba kwa wakati ”

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Ndugu John K Mgalula amesema kuwa utoaji wa Asilimia 10 Upo kisheria na halmashauri ya Wilaya ya Itigi itaendelea kuhakikisha utaratibu huo unafanyika kwa Vikundi vyenye sifa ya Kupatiwa mikopo hiyo . Aidha Mgalula amewataka pia Vikundi hivyo vilivyopatiwa Mikopo hiyo kuhakikisha  vinatunza vizuri pikipiki hizo.

Awali akitoa taarifa ya Makabidhino hayo ya Pikipiki  Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi Suzan Mushi alisema kuwa Vikundi hivyo vimekidhi sifa naKupelekea kupatiwa Mkopo huo ili waweze kujikimu kiuchumi Bi Suzana Mushi Mushi amesema kuwa Mkopo huo ni wa Kibishara Na unatakiwa kurejeshwa kwa Muda wa mwaka mmoja

Aidha Suzana Mushi Amesema kuwa Katika kuwajengea uwezo vikundi Idara ya Maendeleo ya jamii itaendelea kuhakikisha vikundi vinapatiwa Mafunzo juu ya uwekaji wa Akiba , Kuandaa Katiba , ukopaji na Urejeshaji wa Mikopo

Mwenyekiti wa Kikundi cha Mapambano ndugu Richard Wilson amesema kuwa kwa kweli tunaishukuru sana serikali kwa kutupatia Mkopo huu usio kuwa na Riba na Mkopo huu sisi kama Kikundi  tutahakikisha kinakuwa kikundi cha Mfano kwa kufanya shughuli mbali mbali za Maendeleo Pamoja na Kutoa Ajira kwa Vijana wenzetu

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.