• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MKUU WA MKOA WA SINGIDA MH. BINILISI MAHENGE AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI.

Tarehe ya Kuwekwa: December 27th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Singida  Mh. Binilis  Mahenge ameipongeza  Halmashauri ya Wilaya ya Itigi kwa kusimamia kwa ufanisi  miradi mbalimbali ya sekta ya Elimu ikiwa ni pamoj na ujenzi wa vyumba vya madarasa,ofisi za waalimu na vyoo.

Akizungumza  na Viongozi hao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, Mh.John Mgalula mara baada ya kukamilisha ziara ya siku moja ya kukagua miradi hiyo, Mkuu wa mkoa  amewataka viongozi hao kusimamia na kuhakikisha miradi yote ya elimu iliyopo katika Halmashauri hiyo inakamilika kwa wakati na kwa kuzingatia ubora unaolingana na fedha zilizoelekezwa katika miradi hiyo(Value for Money).

 Mh. Mahenge amesisitiza kuwa utendaji wa viongozi utapimwa  kutokana na usimamizi mzuri wa utekeleza wa miradi hiyo hasa inayofadhiliwa KUPITIA FEDHA ZA MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VINAVYOSABABISHA UGONJWA WA KORONA (UVIKO-19) IMF,

Kwa upande wake Mkurugenzi,Mh. John Mgalula amemhakikishia  Mkuu wa mkoa kuwa Halmashauri yake imejipanga kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa ubora na kwa wakati ili kuruhusu wanafunzi kutumia miundombinu hiyo mapema mwezi Januari shule zitakapofunguliwa.

Mkuu wa mkoa  amefanya ziara ya kukagua shule za Sekondari  Itigi,Kimadoi,Handu zilizopo katika mji wa Itigi pamoja na Shule ya sekondari ya Kalekwa,Mitundu na Mgandu zilizopo kata ya Mitundu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa