• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Mkuu wa wilaya ya manyoni amemtaka meneja wa ico general marketing company limited kuzingazia haki za wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya jasi

Tarehe ya Kuwekwa: August 17th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahabu Solomon Mwangisa Amemtaka Meneja wa ICO GENERAL MARKETING COMPANY LIMITED  Kuzingatia haki za wachimbaji Wadogo wadogo wa Madini ya Jasi. Rahab ametoa maagizo hayo pale alipofanya Ziara ya kutembelea Maeneo ambayo Jasi  inapatikana katika Halmshauri ya Wilaya ya Itigi na kukutana na Wachimbaji hao na kutoa Malalamiko yao ya kuwa haki zao zinaminywa ikiwa ni pamoja na kupewa ujira mdogo kulinganisha na kazi wanayofanya.

Mawazo  peter (33) Mchimbaji  wa Madini ya Jasi katika kata ya Dototo kijiji cha kahomwee alimweleza Mkuu wa Wilaya kuwa Mazingira wanayofanyia kazi ni Magumu kwa Kuwa wanafanya kazi kwa kunyonywa na kufanya kazi bila kuwa vifaa vya kulinda usalama wa Afya zao kama Viatu Maalum nk

Katika hatua nyingine Mkuu wa Wilaya alitembelea ukarabati wa kituo cha Afya Itigi ambacho Serikali imetoa Sh 400,000,000 na kumtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Ndugu Pius Shija Luhende kuendelea kusimamia Majengo hayo kwa Kasi ili kuhakikisha Majengo hayo yanakamilika ili Wananchi waweze kupata Matibabu

Hata ivo Mkuu wa Wilaya alitembelea  Jengo la Utawala linajengwa na Mkandarasi  TBA nakuona  hatua ya ujenzi ilipofikiwa. Naye  Rabbeca ambaye ni Msimamizi wa Ujenzi alimweleza Mkuu wa Wilaya Kuwa fedha zipo na Wao wanaendelea na Ujenzi ili kuhakikisha wanakamilisha ujenzi huo mapema Iwezekanavyo ili jengo hilo liweze kutumika

Mkuu wa Wilaya na Manyoni Mh Rahabu Solomoni Mwangisa akiwa katika Eneo la Wachimbaji wadogo Wadogo na Kuangalia aina Mbali mbali za madini ya Jasi katika Eneo la Kahomwee katika kijiji cha Doroto

Madini ya Jasi yaliwekwa kwenye Viroba tayari kwa Kusafirishwa na kupelekwa viwandani

Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama waliembatana na Mkuu wa Wilaya katika kutembelea kituo cha Afya Itigi

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahab Solomoni Mwangisa (Aliyevalia nyekundu) pamoja na Mkurugenzi wa Halamshauri ya Wilaya ya Itigi wakitembelea Kituo cha Afya Itigi

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahab Solomoni Mwangisa akitoa Maelekezo kwa Mkandarasi wa Jengo la Utawala katika Halmashuri ya Wilaya ya Itigi

Ujenzi wa Jengo la Utawala katika Halmashuri ya Wilaya ya Itigi

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa