• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA MANYONI ATEMBELEA ITIGI

Tarehe ya Kuwekwa: October 20th, 2017

Mwenyekiti wa  CCM Wilaya ya Manyoni ndugu Jummanne  Ismail  ametembelea Halmashauri ya wilaya ya Itigi kwa lengo la kujitambulisha kwenye Ofisi za

Halmashauri ya itigi pamoja na kujitambulisha kwa wakuu wa idara na vitengo wa halmashauri ya Itigi.

Mwenyekiti   huyo ameomba ushirikiano wa kutosha  kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya itigi  pamoja na  wakuu wa idara na vitengo kwa ajili ya kutekeleza ilani ya ccm Ipasavyo. Alisema “jukumu letu sisi Viongozi ni Kuhakikisha tunatatua changamoto za wananchi  ivo tunapaswa kufanya kazi kwa bidii ili tuakikishe changamoto zinatatuliwa.”  Pia  alisema uchaguzi umekwisha kilichobaki ni kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa kwa viwango vinavyokubalika.  Hata hivyo alitumia fursa kusema kuwa   katika ahadi yake ilikuwa ni kutembelea kila  kijiji ili kujua changamoto  za wananchi  na katika kuanza kutembela vijiji hivyo ataanza na Halmashauri ya wilaya ya Itigi.

Hata ivo ndugu Jumannne Ismail  alipata fursa ya kutembelea eneo sehemu yalipohifadhiwa Magogo  yaliyotaifishwa  na Halmashauri kutoka kijiji cha damwelu. Vilivile alitembelea eneo ambalo jengo la Halmashauri litajengwa kwa lengo la kujionea hatua za ujenzi zinavyoendelea  .

Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii Mhe Hussein Simba ambaye ni  Diwani wa kata ya Tambukareli  alipata nafasi ya kumshukuru Mwenyekiti wa CCM wilaya kwa kutembelea  Halmashauri ya itigi. Mhe Simba Alimshukuru sana kwa kutembelea itigi kwa lengo la Kufahamiana na Watendaji  kwa kuwa wao ndio watendaji na ndio watekelezaji wa  ilani . Hata ivyo  Mhe  Simba alisema kuwa Halmashauri ya wilaya ya Itigi itatoa ushirikiano wa kutosha kwa  Mwenyekiti  kwa kasi sana ili kuwezesha Maendeleo ya wana Itigi Yanapatikana .


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa