• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA ITIGI ARIDHISHWA NA MIRADI YA AFYA

Tarehe ya Kuwekwa: February 11th, 2023

Katika kuendelea kuboresha mazingira ya kutolea huduma za afya nchini Halmashauri ya Wilaya ya Itigi imeweka kiapaumbele katika usimamizi wa miradi ya afya inayotekelezwa katika halmashauri hiyo.

Akizungumza na wanachi katika Kijiji cha Itumba kilichopo Kata ya Mwamagembe ambako mradi wa ujenzi  wa Zahanati unatekelezwa  Mwenyekiti wa Halmashau ya itigi Mh. Hussein Simba amesema  halmashauri imetenga takribani milioni mia moja ili kukamilisha ujenzi wa zahanati hiyo.

Amesema  halmashauri inatambua mchango wao katika ujenzi wa zahanati hiyo  na kuwasisitiza waendelee kujitolea ili mradi ukamilike mapema huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa hususani miradi ya afya katika halmashauri ya Itigi

Nae mganga Mkuu wa halmashauri ya Itigi Dkt.Immanuel Mallange amewapongeza wananchi wa kijiji cha Itumba kwa kuendelea kujitolea kushiriki katika utekelezaji wa mradi wa zahanati hiyo  na kuawaahidi kuwa halmashauri itahakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati na viwango.

Kwa upande wake Diwani wa kata ya Mwamagembe Mh. Jonathan Dulle amesema kuwa maendeleo katika Kata hiyo yanakuja kwa kasi na  kuwataka wananchi kuacha kusilkiza propaganda za watu wasiopenda maendeleo na kuwasisitiza wajikite katika shughuli za kiuchumi sanjari na kushiriki katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao.

Ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo  imeanzia  katika mradi mkubwa wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya inayojengwa katika mji wa Itigi, zahanati ya Itumba na Zahanati ya Rungwa na maendeleo ya utekeleza ukionekana kumridhisha Mwenyekiti wa halmashauri pamoja na Wataalamu kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa