• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

RAHABU MWAGISA ATOA NENO KWA WADAU WA AFYA H'W ITIGI

Tarehe ya Kuwekwa: April 2nd, 2022

Wadau wa afya katika halmashauri ya Itigi mkoani Singida wametakiwa kukutana kila wakati ili kujadili na kuwa na uelewa wa pamoja kuhusu masuala mbalimbali ya kisekta .

Akizungumza katika kikao kazi cha wadau wa sekta ya afya Mkuu wa wilaya ya Manyoni Bi.Rahabu Mwagisa amewataka wadau hao wa sekta ya afya kuweka ratiba ya kukutana angalau mara tatu kwa mwaka ili kujadiliana na kubadilishana uzoefu na kutafuta suluhisho la pamoja kwa changamoto zinzoikumba sekta hiyo.

Bi.Rahabu amesema kuwa wadau hao wanaweza kuandaa vikao kazi kwa kuishirikisha halmashauri badala ya kusubiri ratiba ya vikao vya halmashauri"naamini suala la pesa kwenu si kipaumbele hivyo mnaweza kuandaa vikao kwa kushirikiana na halmashauri ili tuweze kukutana kama hivi na kujadili masuala mbalimbali ya kiafya yanayoihusu jamii yetu"amesema Bi Rahabu

Kwa upande wake meneja mradi kutoka Action Against Hunger Bwana Daudi Tano ameshauri mafunzo kwa madaktari na wauguzi ni muhimu yakatolewa pasipo na upendeleo"tunapotoa mafunzo na semina kwa madaktari na wauguzi ni muhimu kuweka rekodi ya mahudhurio ili mafunzo yatakayo fuata wasijirudie hao hao"amesema Bw Tano.

Naye mratibu wa afya kutoka shirika la CSSC kanda ya magharibi Mchungaji Godfrey Mdaki  amesema kuwa wapo tayari kuratibu vikao kazi vinvyohusu sekta ya afya kwa kusirikiana na serikali ya Wilayakwa kuwa wamekuwa wakifanya huvyo hata katika maeneo mengine"tushirikiane katiak kuandaa mipango na sisi tupo tayari kuratibu kwa upande wa kifedha"amesema mchungaji Mdaki

Awali akiwasilisha taarifa ya sekta ya afya Mganga mkuu wa Halmashauri ya Itigi Dkt Emmanuel Mallange amesema halmashauri bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali katika kutoa huduma za afya ikiwa ni pamoja na ukosefu wa magari ya wagonjwa kwa vituo vilivyombali na hospitali,uhaba wa vitendea kazi hususani katika wodi za wazazi pamoja na uhaba wa wataalamu wa kufun ga uzazi huku akiwashukuru wadau wa afya  kwa kushirikiana na serikali katika  kutatua changamoto za kisekta katika halmashauri hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa