• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

Posted on: October 17th, 2024



  • Katika kuhakikisha Wazee wanapata huduma stahiki za afya serikali Imeendelea kuwapatia vitambulisho vya matibabu bure za bima za afya iliyoboreshwa (CHF) ambapo kwa mwaka 2023-2024 wazee 46,995 wametambuliwa nakuendelea kupatiwa huduma za matibabu bure.

    Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa halmashauri ya Wilaya ya Itigi Dkt.Emmanuel Mallange kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Halima Dendego katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani ambapo kimkoa yamefanyika katika halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Dkt.Mallange amesema sambamba na huduma za afya kwa wazee serikali imeendelea kuboresha makazi ya Wazee ya Sukamahela pamoja na kutekeleza mikakati ya Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wazee

    Awali akisoma risala Katibu wa Baraza la Ushauri la Wazee Ndg.Ramadhani Tuji ameiomba serikali kuimarisha madirisha ya wazee katika vituo vya kutolea huduma,kutoa misamaha mbalimbali kama vile msamaha wa kodi za majengo na huduma za matibabu

    Aidha ameimba serikali kuwashirikisha Wazee katika vikao mbalimbali vya maamuzi ili waweze kutoa ushauri

    Kwa upande wake Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Shila Mwashiuya ameitaka jamii kuwajali wazee ili waweze kuzeeka kwa heshima huku akiwasisitaza wazee kwenda kujiandikisha kwenye orodha ya mpiga kura pamoja na kuhamasisha vijana kujiandikisha ili waweze kushiriki kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa .







Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.