• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

Posted on: November 10th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Halima Dendego amesisitiza ulinzi kwa wanafunzi hususani wa jinsia ya kike wakiwa ndani na nje ya shule ili kuwawezesha kuzifikia ndoto zao za maisha pamoja na kuwawezesha kusoma katika mazingira bora na rafiki kwao.

Ameyasema hayo Novemba 7,2024 katika Shule ya Sekondari Kitaraka katika Halmashauri ya Itigi alipokwenda kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu(Two in One)kupitia Programu ya maendeleo ya Sequip.


Mhe.Dendego amesema licha ya kuwa serikali na jamii inatumia nguvu kubwa kuwalinda watoto wa kike dhidi ya ulaghai unaoweza kupelekea ndoto zao kuharibika,lakini ni wajibu wao kuhakikisha wanajilindavpoa kwa kujiheshimu na kujiweka mbali na ushawishi wa wote ambao wanaonyesha dalili mbaya dhidi yao kwani ikiwa watapata ujauzito wakiwa katika masomo ni wazi kuwa nao wameshiriki katika kujiweka katika matatizo hivyo ni wazi nao watawajibika na sio upande wa mwanaume pekee.


"Wanafunzi ni nyara za serikali zenye gharama kubwa sana,ndio sababu serikali ikaweka sheria ya miaka thelathini kwa watakaokiuka na kuwalaghai watoto wa kike,tutawalinda siku zote mchana na usiku".amesema Mhe.Dendego.

Licha ya hayo ameagiza watoto wapewe kipaumbele katika kusoma kwa kushiriki masomo darasani na wenzao hata kwa wale ambao hawana sare za shule wasirudishwe nyumbani bali wapewe nafasi huku wakiendelea kuwa na utayari.


"Watoto wasio na uniform wasifukuzwe darasani,tunachotaka watoto wapate elimu,na katika Mkoa wa Singida kwasasa tuna operesheni ya kutokomeza matokeo ya daraja la nne na daraja ziro".


Sambamba na hilo,amesisitiza utunzwaji mzuri wa nyumba hizo za waalimu kwa kuhakikisha utunzwaji wa mazingira kwa kupanda miti maeneo yote yanayozunguka eneo hilo kwa lengo la kutunza mazingira lakini pia kujipatia kipato kutokana na miti kama aina ya mikorosho.


Pia ameagiza upatikanaji wa bendera ya Taifa shuleni hapo itakayotumika wakati wa kuimba wimbo wa Taifa,pia ameagiza ukarabati kwa Shule kuboreshwa zaidi na kuwa na muonekano wa kuvutia.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.