• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

TOZO YA PUMBA NA MASHUDU YAKUBALIKA

Tarehe ya Kuwekwa: January 28th, 2022


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Bw. John Mgalula amewashauri wajumbe wa baraza la madiwani wa halmashauri hiyo kuridhia mpango wa kutoza ushuru  kwa mashudu ya alizeti na pumba za mahindi na mpunga yanayotumika kutengenezea  vyakula vya mifugo  kwa wanunuzi wanaovusha bidhaa hizo nje ya halmashauri.

Mheshimiwa Mgalula ametoa ushauri huo katika kikao cha Baraza la halmashauri akitolea ufafanuzi hoja ya Mh. Ali Minja,Diwani wa kata ya Itigi Majengo kuwa halmashauri inapaswa kufikiria vyanzo mbadala vya mapato badala ya kutoza ushuru kwa bidhaa za pumba na mashudu na kuwaongezea mzigo wananchi wanaotaka kujikwamua kiuchumikupitia ufugaji.

Bwana Mgalula amesema kuwa bidhaa hizo zitatozwa ushuru kulingana na uzito unaoanzia tani tano (5 ) na kuendelea  hususani kwa wafanyabiashara na wafugaji wanaovusha kwenda nje ya halmashauri na kusisitiza kuwa tozo hiyo haitamgusa mkazi wa ndani ya halmashauri anayetumia bidhaa hizo kwa shughuli za kawaida za kujiongezea kipato.

Akitolea ufafanuzi suala hilo Afisa kilimo Halmashauri ya Itigi Bw. John Chao ameeleza kuwa pumba na mashudu yatatozwa ushuru  kwa uzito wa tani moja kwa shilingi elfu tano(tani 1= tsh.5000)na kwa gari lililobeba bidhaa hizo pia litatozwa ushuru huku Mwanasheria mkuu wa Halmashauri Bw.Gilbart Kalanda  akiongeza kuwa katika mikoa mingine hasa ya kanda ya magharibi wamekuwa wamekuwa wakitoza ushuru kwa bidhaa hizo.

Akihitimisha mjadala wa hoja hiyo,Mwenyekiti wa Halmashauri ya itigi Mh.Hussein Ibrahim Simba amesema tozo hiyo imewalenga wafanyabiashara wakubwa   na haitawagusa wakaazi wa halmashauri yake kwa kuwa lengo la tozo hiyo ni kuongeza kipato kwa ajili ya ustawi wa halmashauri hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa