• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

TUKAMILISHE UJENZI WA MADARASA KWA WAKATI-SERUKAMBA

Posted on: November 30th, 2022

Mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba ameiagiza halmashauri ya Itigi kutumia fedha za makusanyo ya ndani (own source) kujenga darasa moja kwa kila shule ya sekondari iliyopata fedha za ujenzi wa madarasa kutoka serikali kuu.

Mkuu wa mkoa ametoa maagizo hayo leo tarehe 30/11/2022 wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya ujenzi wa madarasa mapya kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mnamo januari 2023 katika halmashauri ya Itigi na kusema kuwa halimashauri inapaswa kujenga angalau darasa moja kwa kila shule kumi zilizopata mgawa wa fedha kutoka serikali kuu ili kupunguza uhaba wa madarasa.

Pamoja na kuridhishwa na mwenendo wa utekelezaji, Serukamba amewataka  Mkuu wa wilaya ya Manyoni na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Itigi kuongeza msukumo wa usimamizi wa ujenzi wa miundombinu hiyo ya elimu kwa kufanya ziara mara kwa mara ili iweze kukamilika kwa wakati na kwa viwango kulingana na thamani ya fedha zilizotolewa.

“Tunataka kufikia tarehe 15 mwezi ujao(Disemba) madarasa yote yawe yamekamilika na tuyakabidhi yakiwa complete”alisisitiza .

Kwa upande wake mkuu wa shule ya Sekondari ya Kimadoi Mwl.Juma Kirina ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mh.Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na kusema  kuwa hatua hiyo itaongeza ari ya wanafunzi kujifunza kwa bidii na kuahidi kwamba madarasa hayo yatakamilika kwa wakati ili kuruhusu wanafunzi watakao chaguliwa kuanza kidato cha kwanza januari 2023 kuanza kuyatumia.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.