• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

TUWAVUSHE SALAMA

Posted on: January 28th, 2022


Afisa tawala Halmashauri ya Wilaya ya  Manyoni Mh.Leila Sawe amewataka waganga wafawidhi pamoja na maafisa watendaji wa vijiji kufanya kazi kwa ushirikiano ili KUWAVUSH A SALAMA akina mama wjawazito na watoto hasa wenye vidokezo vya hatari.

Mh.Leila Sawe kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh. Rahabu Mwagisa amesema hayo wakati wa kikao cha kutoa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA TAMKO LA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Itigi.

Akiwasilisha taarifa ya afua za lishe kwa kipindi cha mwezi Julai-Septemba 2021, Mratibu wa lishe na Muuguzi Mkuu wa Wilaya Ndg FREDERICK GAISHA.amesisitiza suala la mama wajawazito kuanza kliniki mapema kabla ya miezi mitatu ili afanyiwe uchunguzi wa kutosha na utambuzi wa dalili za hatari mapema na kupatiwa suluhisho kabla muda wa kujifungua.

Amesema takwimu zinaonesha katika ngazi ya jamii kuwepo kwa tatizo la lishe duni kwa wajawazito hivyo kupelekea ongezeko la watoto wanaozaliwa na uzito pungufu hadi kufikia 3.8% kwa kipindi cha mwezi Julai –Septemba huku akibainisha hali ya Watoto wenye hali nzuri ya lishe kuwa ni asilimia 99.8%, utapiamlo wa kadri ni 1%, na Utapiamlo mkali ni 0.1%.

Naye Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi DR. EMMANUEL S. MALLANGE amewahimiza akina mama wajawazito kuanza kliniki mapema chini ya wiki 12 na elimu ya uzazi salama na lishe itolewe kupitia mikutano na makongamano kwa wingi ili kuwaelimisha juu ya umuhimu wa kuhudhuria mapema kliniki sanjari kuhamasisha Kampeni za Vitamini A inayotarajia kuanza hivi karibuni kuanzia ngazi ya Kata. Vijiji hadi Vitongoji,

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.