• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

WADAU WA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI WAJENGEWA UWEZO

Tarehe ya Kuwekwa: December 2nd, 2021

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi imezitaka serikali za mitaa ngazi ya kata , vijiji,Wahudumu wa afya ngazi ya jamii pamoja na watu maarufu  kutoa elimu na kuihamasisha jamii kushiriki kupata chanjo ya kupambana dhidi ya maradhi yanayotokana na virusi vya korona.

Akizungumza na wajumbe kwenye kikao hicho kilichofanyika  katika ukumbi wa halmashauri ya Itigi ,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mh Husseni Simba kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahabu Mwagisa ameziagiza serikali katika ngazi zote katika Wilaya hiyo kuhamasisha wananchi wote wenye umri wa miaka 18 na kuendelea pamoja na wanawake wajawazito na akina mama wanaonyonyesha kushiriki kupata chanjo ya UVIKO-19 ambazo zinapatikana BURE katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya.

Kikao hicho cha kujengeana uwezo katika uhamasishaji jamii kuitikia chanjo dhidi ya UVIKO 19 (capacity building) kimejumuisha washiriki kutoka kada mbalimbali  wakiwemo Watendaji wa kata 13,Wahudumu viongozi wa ngazi ya jamii10 pamoja na Idara 8 za Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

Sanjari na kikao hicho Halmashauri iliendesha kikao kingine kilichohusu kujengeana uwezo katika uandaaji wa mpango wa awali wa bajeti ya lishe ambacho kiliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi Mh John Kulwa Mgalula na mwakilishi kutoka wizara ya afya kitengo cha chakula na lishe (TFNC) na Mratibu lishe wa Mkoa ndg Teda Sinde kilijumuisha washiriki kutoka idara mtambuka za lishe na Utawala(kilimo,mifugo,maji,elimu, maendeleo ya jamii, mipango na utawala).

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa