• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

WADAU WA AFYA H'W ITIGI WAPEWA SOMO

Tarehe ya Kuwekwa: January 30th, 2023

Wadau wa afya wametakiwa kutoa elimu kwa jamii juu ya tabia chanya kuhusu huduma mbalimbali za afya kwa watu wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI pamoja na matumizi sahihi ya dawa za kufubaza makali ya virusi hivyo.

Akizungumza katika kikao kazi cha wadau wa afya kilichofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi juu ya mabadiliko ya tabia na uhamasishaji katika jamii,Mratibu wa shughuli za uhamasishaji na mabadiliko ya tabia katika jamii kutoka USAID-Afya Yangu Ndugu Kisibwi Maendeka  na kusisitiza kuwa kumekuwa na ongezeko la idadi ya watoro katika huduma za tiba na matunzo huku sababu ikibainishwa kuwa ni uelewa duni juu ya huduma mbalimbali za afya zinazotolewa kwa watu wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Amesema USAID-Afya Yangu kwa kushirikiana na Serikali kupitia ngazi za halmashauri wameweka mikakati ya kupinga mila na imani potofu pamoja na tamaduni kandamizi ndani ya jamii  za kuzuia wengine wasipate huduma stahiki za afya

Awali akifungua kikao kazi hicho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mh. Hussein Simba aamewashukuru wadau wa afya kutoka USAID-Afya yangu kwa kuiingza halmashauri hiyo katika mradi wa miaka mitano wa kusaidia watu wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI,TB na Uzazi wa mpango na kuwataka wadau wa afya  ngazi ya halmashauri kuwa chachu katika kuelimisha jamii nzima kuhusu masuala mbalimbali ya afya.

Kwa upande wake Mkuu wa Divisheni ya Utumishi katika Halmashauri ya Itigi  Bi. Joyce Masoga  kwa niaba ya wadau wa afya kutoka sekta mtambuka ngazi ya halmashuri amesema kuwa wapo tayari kwa kushirikiana na wadau wengine kutoa kuielimisha jamii kuhusu huduma mbalimbali za afya zinazotolewa na serikali ili kuwa na jamii yenye afya  kwa maendeleo ya Taifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa