• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

WADAU WA HABARI WAHIMIZWA KUSHIRIKI KUINUA UBORA WA ELIMU NCHINI

Tarehe ya Kuwekwa: February 1st, 2023

Waandishi wa habari pamoja na Maafisa habari wametakiwa kuripoti mafanikio yaliyopo katika sekta ya elimu  yanayotekelezwa na serikali ili kujenga uelewa  katika  jamii.

Akizungumza katika kikao kazi kwa Waandishi wa habari wa mkoa wa Singida na Maafisa habari kutoka halmashauri zote za mkoa huo kilichoa andaliwa na Mradi wa SHULE BORA,Katibu Tawala wa mkoa wa Singida Mwl.Doroth Mwaluko amesema wanahabari wanamchango mkubwa katika kutoa elimu na uelewa chanya  kwa jamii ikiwa watatumia kalamu zao kwa njia inayofaa.

Amesema serikali imeendelea kufanya mambo makubwa katika sekta ya elimu nchini  jambo ambalo wananchi wanapaswa kufahamu kupitia taaluma ya uandishi wa habari huku akisisitiza matumizi mazuri ya utandawazi katika tasnia hiyo” utandawazi uendane na mila na desturi  za nchi ili uweze kuleta tija kwa jamii”alisema.

Pia Katibu Tawala amewataka wasimamizi wa Mradi wa SHULE BORA kutengenzea  mfumo wa mafunzo ya waalimu ndani ya Mkoa na kuandaa kituo/vituo kwa ajili ya waalimu watakao pata mafunzo kwenada kuwa fundisha waalimu wengine.

Nae mratibu wa programu ya SHULE BORA, Samwel Daniel amesema kuwa lengo la kikao kazi hicho ni kuwatambua wadau wa habari kuwa ni sehemu muhimu katika kutekeleza na kufika malengo ya mradi.

Amesema SHULE BORA ni mradi jumuishi hivyo ni lazima kuwatambua wadau mbalimbali wa elimu na kuwajengea uwezo ili wawe na uwezo wa kuchangia katika kuboresha elimu kupitia taaluma zao kwa kushirikiana na Mradi.”Tumeamua kuwakutanisha wadau mbalimbali ilikuwajengea uwezo na kuwapa ujuzi ili tuweze kushirikiana katika kutekeleza  mradi”alisisitza Daniel.

Kwa upande wake Mratibu wa mawasiliano na Mahusiano,Programu ya serikali ya SHULE BORA Bwana Raymond Kanyambo amebainisha kuwa Mradi wa SHULE BORA unafanya kazi pamoja serikali  za Mikoa na Halmashauri pamoja na shule katika Mikoa tisa yenye changamoto nyingi za kielimu huku Mradi ukikadiriwa kuwafikia watoto takribani Milioni nne wa kitanzania.

Ameitaja mikoa hiyo kuwa ni Singida ,Simiyu,Mara,Tanga,Dodoma ,Kigoma,Katavi,Rukwa na Pwani huku akianisha malengo ya Mradi  kuwa utatekeleza shughuli zake katika maeneo ya Kujifunza,Kufundisha, Jumuishi kwa maana ya kuandaa mazingira salama ili watoto wote waweze kumaliza elimu ya msingi na kuendelea na elimu ya sekondari na pia Kujenga mfumo wa kifedha serikalini kupita wahisani.

Shule Bora ni Mradi wa serikali ya Tanzania  kwa ufadhili wa serikali ya Uingereza kupita mfuko wa UK aid,  unaotekelezwa  katika mikoa tisa nchini kwa kipindi cha miaka sita (2021-2027)kwa lengo la kuinua ubora wa elimu nchini.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa