• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

WAFAMASIA ITIGI DC,WAKUTANA KUWEKA MIKAKATI

Tarehe ya Kuwekwa: April 14th, 2023

Wamiliki wa maduka ya dawa muhimu pamoja na watoa dawa wametakiwa kufanya kazi zao kwa kuzingatia kanuni na taratibu za kitaaluma katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuepusha madhara yanayotokana na matumizi  yasiyofaa ya dawa kwa binadamu

Akifunga kikao kazi cha wafamasia pamoja na wamiliki wa maduka ya dawa muhimu  katika halmashauri ya Itigi Afisa Lishe Bi.Darln Hassan kwa niaba ya Mkuu wa Divisheni ya Afya Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt Emmanuel Mallange amesisitiza kuwa  wadau hao wanapaswa kutoa huduma kulingana na usajili wa maduka yao sambamba na kuhakikisha wale wote wenye maduka bubu wanasajili maduka yao mapema.

Naye Mfamasia wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Bi. Scola Shunu amesema kuwa mwaka2022  uhakiki wavyeti vya watoa dawa ulifanyika na kubaini kuwa watu kumi na sita pekee kati ya arobaini na sita ambao walishiriki katika uhakiki huo  ndio walikuwa na vyeti halali na kuwataka wadau hao kuacha kughushi vyeti kwa kuwa kada hiyo ni nyeti na inagusa uhai wa binadamu moja kwa moja

Aidha amewataka wadau hao wa afya kuwa tayari kutoa elimu ya matumizi sahihi ya dawa kwa jamii kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa jamii bado haina uelewa wa kutosha wa matumizi sahihi ya dawa.

Kwa upande wake mmiliki wa duka la dawa muhimu Dkt. Mengi Kanazi amebainisha baadhi ya changamoto zinazowakabili watoa huduma hao wa dawa kwa ni pamoja na baadhi ya watoa dawa kuuza dawa  isiyofikia kiwango cha dozi hali inayopelekea usugu wa vimelea vya magonjwa pia kuangalia namna wamiliki wa maduka kuweka bei za dawa zinazolingana kwa maduka yote huku akishukuru kwa kikao kazi hicho kwa kuwakutanisha na kuwajengea uwezo utakao wasaidia kuongeza ufanisi katika majukumu yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa