• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

WALIMU WA SAYANSI ITIGI DC WAPIGWA MSASA

Posted on: August 12th, 2023

Katika kuinua kiwango cha elimu nchini Waalimu wametakiwa kuendelea kujifunza na kujisasisha ili kuenda sambamba na mabadiliko ya mtaala mpya ulioboreshwa ili kuwasaidia wanafunzi waweze kupata ujuzi na  maarifa sahihi.

Akifunga mafunzo kwa Walimu wa shule za Sekondari na  Msingi wanaofundisha masomo ya Sayansi kwa madarasa ya mitihani  Afisa Elimu Taaluma Msingi Mwl.Shaaban Madongo amewataka walimu kufanya kazi kwa bidii ili kuunga mkono jitihada za serikali za kuboresha kiwango cha elimu nchini.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu (TASESO) Deus Lugaila amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwajuza walimu kuhusu mabadiliko ya mtaala na namna ya kutunga mitihani kulingana na mtaala ulioboreshwa huku Mratibu wa Mafunzo hayo Ndg.Richard Nnko amesema mafunzo hayo yamekusudiwa kuwasaidia waalimu kuboresha mbinu zao za ufundishaji na ujifunzaji ili kuleta mabadiliko chanya ya ufaulu kwa wanafunzi.

Nae Sista,Karitus Mazengo ambaye ni mwalimu wa Shule Msingi Isingiwe amekiri kwa mafunzo hayo yaewaongezea umahiri katika  stadi za ufundishaji  .

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.