• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

WANANCHI KATA YA IPANDE WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MASUALA YA AFYA

Tarehe ya Kuwekwa: August 21st, 2023

Wito umetolewa kwa wanaume kushirilkiana na wake zao katika masuala yanayohusu uzazi salama wenye kujali jinsia ili kuepusha vifo visivyo vya lazima vinavyoweza kutokea kwa akina mama wajawazito na watoto

Muuguzi Mkuu wa halmashauri ya Itigi Ndg.Frederick Gaisha amesema hayo katika mkutano na wananchi wa Kata ya Ipande halmashauri ya wilaya ya Itigi katika programu endelevu ya kutoa elimu ya uzazi salama ngazi ya jamii wenye kujali jinsia (RMNICAH) pamoja na kutoa hamasa ya ujenzi wa vyoo bora na usafi wa mazingira ngazi ya kaya,

Ndg.Gaisha amewataka akina mama wajawazito kuanza kuhudhuria kliniki mapema kabla ya miezi mitatu ili kufanyiwa uchunguzi pamoja na kujifungulia katika zahanati au hospitali ili kuepusha vifo vitokanavyo na uzazi.

Amesisitiza kuwa wanaume wanawajibu mkubwa wa kuwasaidia wake zao katika kipindi cha ujauzito hasa kuhakikisha wanamiliki mfuko wa maandalizi binafsi wa mama mjamzito kwa miezi nane kabla ya kumkabidhi mjamzito tayari kwa matumizi.

Vilevile Gaisha amewataka wanaume kuzingatia umuhumu na faida za lishe bora kwa mama mjamzito na wakati wa kunyonyesha  ili kuepusha madhara yanayotokana na ukosefu wa lishe ikiwa ni pamoja na udumavu au vifo kwa watoto wachanga huku akiwasisitiza wanaume kuwapunguzia kazi akina mama katika vipindi hivyo.

Kwa upande wake Afisa afya wa halmashauri hiyo Ndg. Lyambogo Malembo amewasisitiza wakazi wa Ipande kuzingatia sheria ndogo ndogo za usafi wa mazingira zilizopitishwa kupitia mikutano ya serikali ya Kijiji ikwa ni pamoja na ujenzi wa vyoo bora na kuvitumia.

Aidha Afisa afya amesema choo bora lazima kiwe na kuta nne ili kulinda faragha ya mtumiaji,paa,sakafu,maji pamoja na sabuni ili kijikinga na magonjwa ya mlipuko.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa