• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

Primary Education

MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU MSINGI

Kufafanua  na  kusimamia  utekelezaji wa Sera  ya Elimu  na Mafunzo.  Sheria  na  kanuni zinazoongoza utoaji  wa  elimu  na mafunzo ya ufundi.

Kutoa  ushauri wa kitaalamu  kuhusu   masuala  yote ya kielimu katika Halmashauri.  

Kusimamia   shughuli   za Taaluma  katika  Wilaya.  

Kusimamia na kuratibu  mitihani ya  Darasa la II, IV, VII  na  MOCK  ya  Elimu   ya Msingi.

Kusajili  wanafunzi  waliopo mfumo rasmi / nje   ya mfumo  rasmi.

Kusimamia na kuratibu  mpango wa walimu  kujiendeleza.

Kushughulikia   upanuzi  wa Elimu  katika   ngazi  ya Elimu   ya Awali na   Elimu    ya Msingi.

Kutayarisha na kusimamia utekelezaji   wa mipango ya maendeleo  ya elimu  kila mwaka.

Kudhibiti   matumizi  ya fedha  za elimu kwa mujibu  ya miongozo  ya  fedha  za serikali.

Kuthibitisha  kwamba  shule zote  zinainua ubora   wa mazingira  ya kujifunzia  na  kufundishia.

Kusimamia wajibu  na haki za walimu.

Kukusanya, kuratibu na kuchambua  takwimu  za elimu  katika  Halmashauri  kwa ajili ya  mipango  ya maendeleo  katika ngazi  ya  shule,   Halmashauri , Mkoa  na  Taifa.

Kusimamia, kuratibu na kutathimini  mipango mbalimbali  ya EWW  na MEMKWA na  MUKEJA.

Kuratibu  utoaji  wa Elimu   masafa, ya  ana kwa ana,    kwa kushirikiana  na mkufunzi  wa  makazi  wa elimu   ya watu wazima   Mkoa  na Waratibu  wa vituo  katika Sekondari  na vyuo  (learning   centres).

Kusimamia   uandaaji wa  taarifa za TWM za kila robo  mwaka na uagizaji wa vifaa vya EWW.

Kufanya  makisio  ya idadi ya  mahitaji  ya walimu.

Kufuatilia huduma kwa  wanafunzi   K.M. Mahudhurio, Uhamisho  na  chakula  cha  mchana.

Kusimamia miradi ya maendeleo  hususani miundombinu shuleni.

Kufuatilia  utelekelezaji wa  taarifa za Ukaguzi   wa shule za msingi.

Kusimamia   maendeleo ya  Taaluma   na michezo (UMITASHUMTA)

Kusimamia   na kuratibu   utoaji  wa elimu  maalumu kwa wanafunzi   wenye  mahitaji maalumu.

Kubuni mbinu mbalimbali za kuinua taaluma.

Kusimamia  na kuratibu  shughuli za sayansi kimu  shuleni.  

Kufanya   ziara  za ufuatiliaji  wa Taaluma na miundombinu.

Kufanya  kazi nyingine  kama itakavyoelekezwa na Mkurugezi Mtendaji  Wilaya wa Halmashauri.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.