• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

Videos

  • SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2022

    March 22nd, 2022

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8,2022

  • ALAT MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS

    March 22nd, 2022

    ALAT MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS

  • ALAT MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS

    March 22nd, 2022

                                     ALAT MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS

    Wajumbe wa jumuiya ya tawala za mikoa Tanzania ALAT mkoa wa Singida wamempongeza Mheshimiwa Rais  Samia Suluhu Hassani kwa kuibua na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini

     Akizungumza katika mkutano wa kujadili masuala mbalimbali yakiwemo miradi ya elimu,afya na yanayohusu sekta ya kilimo uliofanyika katika Halmashauri ya Itigi,Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Singida Mhe. James J. Mkwega amesema  kuwa wajumbe wamepitisha kwa pamoja azimio la kumpongeza Rais kutokana na juhudi zake katika kutekeleza miradi mbalimbali kwa kipindi cha mwaka mmoja cha uongozi wake.

    Mhe. Mkwega amesema kuwa azimio hilo la kumpongeza Rais limekuja baada ya kuridhishwa na kasi ya utendaji wake wa kazi “sisi wana Singida kupitia wajumbe wa ALAT mkoa tunampongeza sana rais kwa yale anayotufanyia kwa kipindi hiki kifupi cha utumishi wake” alisema Mkwega.

    Akiwasilisha pongezi kwa Mheshimiwa rais kwa niaba ya wajumbe wa ALAT,makamu wa mwenyekiti ALAT mkoa wa Singida Bi.Yagi Kiaratu amesema kuwa tangu awali mheshimiwa rais alionesha wazi dhamira ya dhati ya kuwaletea wanachi wa Tanzania maendeleo.

    Amesema kuwa rais ameifungua Tanzania kitaifa na kimataifa  ”mama ameupiga mwingi katika kuleta maendeleo na kuifungua Tanzania kitaifa na kimataifa kuhakikisha nchi inasonga mbele”amesema Bi.Yagi.

    Katika hatua nyingine Wajumbe wa ALAT-mkoa wamezungumzia utekelezaji wa zoezi la anwani za makazi ambalo limeanza kutekelezwa katika halmashauri za mkoa huo sanjari na maandalizi ya utekelezaji wa zoezi la sensa ya watu na makazi itakayo fanyika mwezi agosti mwaka huu na kuzitaka halmashauri zote kutekeleza zoezi hilo kwa ufanisi wa kiwango cha juu.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • Next →

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA WA UCHAGUZI WA MWAKA 2025 August 31, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI. September 16, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO : KLINIKI MAALUMU KWA WATU WENYE UALBINO April 08, 2024
  • View All

Latest News

  • MEMEJA TRA TAWI LA MANYONI ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI ITIGI

    September 19, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA SINGIDA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 10, 2025
  • DC MANYONI, DKT. VINCENT MASHINJI AONGOZA KIKAO CHA BAJETI YA MWENGE WA UHURU

    June 03, 2025
  • KIKAO CHA KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO KUJADILI HOJA ZA MKAGUZI - CAG

    June 05, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

Related Links

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.