• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

ALAT MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS SAMIA

Posted on: March 5th, 2022

ALAT MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS

Wajumbe wa jumuiya ya tawala za mikoa Tanzania ALAT mkoa wa Singida wamempongeza Mheshimiwa Rais  Samia Suluhu Hassani kwa kuibua na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini

 Akizungumza katika mkutano wa kujadili masuala mbalimbali yakiwemo miradi ya elimu,afya na yanayohusu sekta ya kilimo uliofanyika katika Halmashauri ya Itigi,Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Singida Mhe. James J. Mkwega amesema  kuwa wajumbe wamepitisha kwa pamoja azimio la kumpongeza Rais kutokana na juhudi zake katika kutekeleza miradi mbalimbali kwa kipindi cha mwaka mmoja cha uongozi wake.

Mhe. Mkwega amesema kuwa azimio hilo la kumpongeza Rais limekuja baada ya kuridhishwa na kasi ya utendaji wake wa kazi “sisi wana Singida kupitia wajumbe wa ALAT mkoa tunampongeza sana rais kwa yale anayotufanyia kwa kipindi hiki kifupi cha utumishi wake” alisema Mkwega.

Akiwasilisha pongezi kwa Mheshimiwa rais kwa niaba ya wajumbe wa ALAT,makamu wa mwenyekiti ALAT mkoa wa Singida Bi.Yagi Kiaratu amesema kuwa tangu awali mheshimiwa rais alionesha wazi dhamira ya dhati ya kuwaletea wanachi wa Tanzania maendeleo.

Amesema kwa rais ameifungua Tanzania kitaifa na kimataifa”mama ameupiga mwingi katika kuleta maendeleo na kuifungua Tanzania kitaifa na kimataifa kuhakikisha nchi inasonga mbele”amesema Bi.Yagi.

Katika hatua nyingine Wajumbe wa ALAT-mkoa wamezungumzia utekelezaji wa zoezi la anwani za makazi ambalo limeanza kutekelezwa katika halmashauri za mkoa huo sanjari na maandalizi ya utekelezaji wa zoezi la sensa ya watu na makazi itakayo fanyika mwezi agosti mwaka huu na kuzitaka halmashauri zote kutekeleza zoezi hilo kwa ufanisi wa kiwango cha juu.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.