• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

DAS MANYONI AKABIDHI PIKIPIKI NA KUWATAKA MAAFISA ELIMU KATA WA ITIGI KUZITUMIA KWA MALENGO KUSUDIWA

Tarehe ya Kuwekwa: September 14th, 2018

Katibu Tawala wa Wilaya ya Manyoni ndugu Charles Mkama  amekabidhi Pikipiki Mpya 13 kwa Maafisa Elimu kata  katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi  iliyoko katika Wilaya ya Manyoni.

Mkama  amekabidhi PIKIPIKI hizo kutoka Wizara ya Elimu ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Awamu ya Tano Chini ya Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kufuatilia Ubora wa Elimu Nchini.  Hata hivyo Mkama amewataka Maafisa Elimu Kata hao kutumia pikipiki hizo kwa lengo lililokusudiwa na Serikali katika kukuza viwango vya ufaulu kwa wanafunzi kwa kuwa Ufuatiliaji sasa utakuwa ni karibu Mno . Mkama amesema pia kupitia Pikipiki hizi tutakazo wa kabidhi leo hii ni mategemeo yetu kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi mtaendelea kuwa wa Kwanza Ki Mkoa na Kuendelea kushika nafasi nzuri kitaifa

Akisoma Taarifa Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Bi Margareth E. Temu amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau wa Elimu walianzisha mpango wa kuinua Elimu Tanzania (EQUIP-T). Ambapo Mkoa wa Singida ni Miongoni mwa Mikoa Tisa inayonufaika na Mpango huu

Aidha Afisa Elimu Msingi alisema pia pamoja na kazi nyingine nyingi lakini pikipiki hizo zitafanya kazi ya kuwawezesha maafisa Elimu Kata kutembelea Shule na kuona utendaji kazi katika shule zao.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Pius Shija Luhende amesema kuwa Halmashauri ya Wilaya  ya Itigi pikipiki hizi zitafanya kazi kubwa ya kuwawezesha maafisa Elimu kata kuwasimamia walimu katika kata zao ili waweze kutimiza jukumu lao la msingi la kuwafundisha wanafunzi kwa kuwakagua mara kwa mara Ili kujua kama wana maandalio ya masomo na mambo yote anayotakiwa kuwa nayo ili aweze kufundisha kwa kujiamini.

Pia Luhende amesema kuwa Pikipiki hizi zitasaidia sana kufuatilia kwa karibu na haraka takwimu za taarifa mbalimbali zinapohitajika.

Hata hivyo luhende amewataka Maafisa Elimu kata kutumia Pikipiki Hizo kwa Malengo yaliyokusudiwa na Watakutumia kinyume na Taratibu zilivyoelekezwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao

Akimwakilisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mh Hussein Simba ambaye ni Mwenyekiti wa kamati wa huduma za jamii na Diwani wa kata ya Tamnbukareli amesema kuwa kamati yake itakuwa na jukumu kubwa la kufuatilia pikipiki hizo kwa kuwa pikipiki hizo zipo chini ya kamati hiyo. Simba amasema kuwa kamati yake aitafanya ukaguzi wa mara kwa mara wa piki piki hizo ili kuona utunzaji wa pikipiki hizo

Katibu Tawala wa Wilaya ya Manyoni Ndugu Charles Mkama (kulia) akiwasha pikipiki kabla ya kuzigawa kwa Maafisa Elimu Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

Afisa Elimu Kata ya Kalangali Mwl Amasi akisaini Mkataba wa kupokea Pikipiki mbele ya Mkurugenzi Mtendaji Pius Luhende  na Katibu Tawala wa Manyoni Ndugu Charles Mkama

Katibu Tawala Wilaya ya Maanyoni Ndugu Charles Mkama (Kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Halamshauri ya Wilaya ya Itigi Pius Luhende anayefuatia wakifurahia  jambo pamoja na Maafisa Elimu kata 



Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa