• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

DC AIOMBA NMB KUTOA ELIMU YA KIFEDHA KWA WAALIMU H'W ITIGI

Tarehe ya Kuwekwa: June 25th, 2022

Mkuu wa wilaya ya manyoni mkoani singida bi. Rahabu mwagisa ametoa rai kwa taasisi za kifedha kutoa elimu ya kifedha kwa walimu wanaokaribia kustaafu ili waweze kutumia fedha zao kuanzisha miradi yenye tija itakayo wapatia kipato baada ya kustaafu.

Akizungumza katika warsha iliyoandaliwa na benki ya nmb kwa lengo la kutoa elimu ya kifedha kwa walimu katika wilaya ya manyoni iliyofanyika katika mji wa  itigi mkuu huyo wa wilaya  ameiomba benki ya nmb kutoa elimu ya kifedha  na mafunzo ya ujasiriamali kwa waalimu wanaotarajia kustaafu ili waweze kujiandaa kustaafu vizuri.

Amesema walimu wengi wanapostaafu  huanza kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwa ni pamoja na kilimo na biashara ambapo hujikuta wanashindwa kuendelea kutokana na kutokuwa na elimu ya kifedha na matokeo yake wanafilisika na hatimaye k

uishi maisha ya  umasikini.

Awali akimkaribisa mgeni rasmi,mwenyekiti wa halmashauri ya itigi mh.hussein simba ameipongeza nmb kwa kuandaa warsha hiyo kwa walimu  katika halmashauri yake na kuongeza kuwa taasisi hiyo ya kifedha imekuwa na mchango  mkubwa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye  halmashauri hiyo.

Bwana ally ngingite ni meneja wa benki ya nmb makao makuu,amesema kuwa ombi la mkuu wa wilaya ya manyoni la kutoa elimu ya kifedha kwa wastaafu watarajiwa amelipokea huku akibainisha masuluhisho ya changamoto za waalimu yanayopatikana katika taasisi hiyo kwa sasa ikiwa ni pamoja na mikopo ya vyombo vya usafiri kama pikipiki na bajaji sambamba na kuondoa baadhi ya masharti yaliyomtaka mwalimu kuweka kiwango fulani cha fedha kama dhamana ili astahili kupata mikopo.

Kwa upande wake bi salome mbua ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi sayuni amesema ni jambo la msingi kwa wastaafu kupatiwa elimu ya kifedha mapema iliwapate uzoefu katika kile wanachotaka kufanya baada  ya kustaafu.

Warsha hiyo ya siku moja  imewakutanisha waalimu zaidi ya mia mbili kutoka wilaya ya manyoni ikiwa na kauli mbiu inayosema “mwalimu spesho-umetufunza –tunakutunza

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa