• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

DC MAMYONI-''MARUFUKU KUUZA MAENEO YA MALISHO''

Posted on: November 12th, 2022

.Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Bi. Rahabu Mwagisa amepiga marufuku kuuzwa maeneo malisho  ya mifugo yaliyotengwa kwa ajili ya wafugaji.

Mkuu huyo wa Wilaya ametoa katazo hilo katika kikao chake cha hadhara na wakazi wa Mji wa Itigi kilichofanyika katika kijiji cha Songambele  kilicholenga kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia majibu  pamoja na kuwafahamisha mambo ambayo serikali yao inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassani inafanya.

Bi Mwagisa amesema kuwa kumekuwa na utaratibu wa watu kuuza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya malisho ya mifugo katika maeneo mbalimbali katika wilaya ya Manyoni jambo ambalo ni kosa kiseria na kwamba ofisi yake ilisha kemea suala hilo na kulitolea muongozo.

Amesema suala hilo likifumbiwa macho linaweza kusababisha mgogoro mkubwa wa ardhi miongoni mwa jamii kama ilivyo katika maeneo mengine nchini na kuagiza kusitishwa kwa shughuli zozote kutoka kwa mtu huyo anaedaiwa kuuziwa eneo hilo wakati serikali ikiendelea kufuatilia ili kujiridhisha juu ya jambo hilo.

Hilo limeibuka baada ya Bw. Joseph Sazii mkazi wa kijiji cha Sambuu kumueleza Mkuu wa wilaya kuwa kuna eneo la malisho lililotengwa katika kijiji hicho limevamiwa na kuuzwa kwa ajili ya matumizi tofauti na ilivyokusudiwa.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.